Mabweni ya Mihayo Secondary yaungua moto

Mabweni ya Mihayo Secondary yaungua moto

Ndio uwanafunzi huo, anaona heri akajifiche chooni kisa tu mwalimu anakagua notes au mwalimu asie mpenda ameingia darasani.

Ujana maji ya moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwahi kubana chooni masaa mawili nasubiria ticha mnaha atoke class, halafu alivyotoka class tu akaja direct chooni duhhh!! Nilipelekwa staff maticha wakaanza kujikadiria tu stick[emoji21] ... Halafu baadaye ni maumivu ya kichapo + tumbo lililojazana gas kutokana na harufu ya choo

Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ajali ya moto binafsi imenipeleka mbali sana na kunitonesha kidonda.
Nilimpoteza mdogo wangu kipenzi katika Ajali ya moto kama hii pale Shauritanga. 🙁
Pumzika kwa amani mama. Tutaonana tena.
Pole sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwahi kubana chooni masaa mawili nasubiria ticha mnaha atoke class, halafu alivyotoka class tu akaja direct chooni duhhh!! Nilipelekwa staff maticha wakaanza kujikadiria tu stick[emoji21] ... Halafu baadaye ni maumivu ya kichapo + tumbo lililojazana gas kutokana na harufu ya choo

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu hukufa kwa stiki kama dogo wa kagera..madogo siku hizi laini sana..nakumbuka walimu wangu wawili hao mateke,ngumi na kabali ni lazima..plus matusi kwa mama yangu mzazi..eti kisa nimefanya fujo darasani..ntafanyaje fujo darasani kama mwalimu kaingia kufundisha!!?
 
Kwani ni boarding school siku hizi? Ee mungu okoa shule yangu, in late 90's tukiwa na Timu kabambe ya football, with William anyosisye, Prince baina kamkuru r. I. P, mgomvi kambi, saimon ligongo, Ibrahim shem karenga, Ben ngozi, kessy, ebenezer Msuya, Ben Omar , claud John, na wengi wengineo
R. I. P mwalimu Omar, isavika, Mr ninalwo, sijui ngaiza km still alive, tondo, hokororo , nk

Sent using Jamii Forums mobile app
duh kumbe prince kavuta aisee kitambo sana akiwa indian flavor rfa rest in peace bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom