Shule ipo kata ya mabwepande.
Ukitoka Mfano Makumbusho kituo cha basi panda gari zimeandikwa makumbusho mabwepande zinaishia mabwepande mwisho.then chukua pikipiki ni 1000 tu , nauli, ukipanda gari za bunju pia unaweza shuka bunju B , then ukapnda gari zinazoingia huko mabwepande.
Ni shule mpya inaanza mwaka huu boarding.