Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,096
Kipindi cha JK kidogo wabunge wazichapeπ ila bunge la JMT halifikii fujo za hayo mabunge hapo juuBunge ambalo ni channel ya vichekesho nila Tanzania.
kuna bunge huko x eti la wanainchi linachekesha hilo sijui lilifiaga wap πHii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani.
1. Bunge la Taiwan
Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli kweli.
Wabunge wa Taiwan ni ngumi mkononi kitu kidogo tu wasicho kubaliana basi ngumi huanza kupigwa humo humo ukumbini.
Juzi tu hapa wamenyukana makonde bungeni na mbunge mwengine kuuiba mswaada na kukimbia nao nje hawa wachina wanachekesha sana.
Wana nifurahisha kweli.View attachment 2995846View attachment 2995847View attachment 2995848
2. Bunge la India
Hawa nao ni kama wachina wa Taiwan nao ngumi mkononi
Fujo sana hawa wahindi kukinukisha bungeni ni dakika sifuri tu wasipo elewana.
Hawa wahindi fujo sana.
3. Bunge la Malaysia
4. Bunge la Japan
5. Bunge la Uganda
Haya mabunge yana vibweka kweli kweli ukitaka kucheka zama YouTube au fuatilia mabunge yao ndio utajua vituko vyao haswa.
Ila hilo bunge la Taiwan π hatari sana.
Dr Tale PhDHaya tupe list ya mabunge ya mazoba sasa
Ova
Umesahau la South AfricaHii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani.
1. Bunge la Taiwan
Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli kweli.
Wabunge wa Taiwan ni ngumi mkononi kitu kidogo tu wasicho kubaliana basi ngumi huanza kupigwa humo humo ukumbini.
Juzi tu hapa wamenyukana makonde bungeni na mbunge mwengine kuuiba mswaada na kukimbia nao nje hawa wachina wanachekesha sana.
Wana nifurahisha kweli.View attachment 2995846View attachment 2995847View attachment 2995848
2. Bunge la India
Hawa nao ni kama wachina wa Taiwan nao ngumi mkononi
Fujo sana hawa wahindi kukinukisha bungeni ni dakika sifuri tu wasipo elewana.
Hawa wahindi fujo sana.
3. Bunge la Malaysia
4. Bunge la Japan
5. Bunge la Uganda
Haya mabunge yana vibweka kweli kweli ukitaka kucheka zama YouTube au fuatilia mabunge yao ndio utajua vituko vyao haswa.
Ila hilo bunge la Taiwan π hatari sana.
Mbona wa kinondoni kwako umemsahau πDr Tale PhD
Dr Musukuma PhD
Dr Abood PhD
Prof Kishimba
Bunge la Mpwapwa π
Kweli wasouth nao moto kichapo bungeni muda wowoteUmesahau la South Africa