Mabunge yaliyoendelea, Tanzania lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabunge yaliyoendelea, Tanzania lini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by zomba, Aug 1, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Turkish politicians from the Republican People’s Party and the ruling Ak Party fight during a debate last May in the Turkish parliament in Ankara.
  [​IMG]April 27th 2010. Elected members of the Parliament in Ukraine struggling to find good solutions. Power politics at its best.


  [​IMG] Heated debate: politicians air their differences in Taiwan's parliament, the Legislative Yuan, in 2007. Photograph: AP

  [​IMG]
  TUESDAY: The Ukrainian parliament has ratified the naval base deal with Russia amid brawls in the chamber and clashes outside parliament.


  [h=3][/h]
  [​IMG]According to the Philadelphia Inquirer, a brawl broke out in South Korea's parliament today over legislation involving media reforms. The newspaper stated that today's "scenes were not unusual to South Korea's confrontational and melodramatic politics, where rival parties sometimes resort to violence to get their way." Judging by the picture, these guys look like they are almost as bad at fighting as I am.

  [​IMG]  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG] [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mama Makinda, utayaweza yakianza kwetu?

  [​IMG]
  From Reuters: "Communist deputies scuffle with members of parliament loyal to President Viktor Yushchenko before the president's annual State of the Nation address to the chamber in Kiev, February 9, 2006. Yushchenko proposed breaking a legal logjam with parliament by creating a commission to draft a new version of the constitution to be submitted to a referendum."
   
 3. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Kumbe bongo tunaiga kama hali iko hivi
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sijui kama hata pinda atayaweza haya kwa majibu mepesi kwa maswali magumu!
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu nimekumbuka mbali sana
   
 6. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ASante sana mkuu na nashukuru sana . Maana umenikumbusha mimi pale Tel Aviv mwaka 1976. wabunge walivutana mashati ili uamuzi wa kijeshi uchukuliwe kuwakomboa mateka uganda . Mshikaji kwa makal ayako ya leo, umewaelimisha mamilion ya watanzania kwa nini watu hufukwa nje ya Bunge au kususia vikao hata kuzichapa wakati mwingine. Saafi Saana.
   
 7. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu zomba safi sana,
  hii itasaidia kuona kua kinachosababisha wabunge kuondoka nadani ya ukumbi wa bunge ni upuuzi wanaoukataa
  na pia wanatumia busara sana na njia za kihekima sana kupinga upuuzi huo.
  ukiangalia congress pia, bunge la englanda mambo hua tete haswa ukileta ujinga.
  eti sisi tunaona ni kukosa adabu!!!
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Bila hivyo hatuendelei mkuu.
   
 9. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 783
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Sasa mbunge wa vunjo,dr mrema astahimili vishindo?
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  atakayethubutu kumpiga ngumi ni nani?? mtu mwenyewe wanamwona kabisa yupo dakika za nyongeza/majeruhi/lala salama si unajitafutia tu matatizo...
   
 11. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa kwetu si wale wakutoa udenda bungeni baada ya usiku kukesha baa na vimwana,kazi kulala bungeni tu.Shenzi zao
   
 12. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  I wish Anne Makinda na Naibu wake Ndugai wakaona hizi tifu katika mabunge ya wengine. Sio kutetea ujinga eti chama tawala sijui kinamtawala nani anayependa kuendekeza utumbo katika mambo ya maana. Napata picha hapa kama vile Mheshimiwa Halima Mdee anampa mtu ndoo za mdomo kudadadeki....
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mkuu tena waheshimiwa wetu hawajatulia kabisa unajua wanakesha wapi? Kuna bar moja chafu chafu pale Dom inaitwa chako ni chako jamaa wanafunga bara bara usiku then wanaweka meza na viti mchezo unaanza. Ukipita mchana huwezi kuamini kama usiku kuna pilikapilika za waheshimiwa pale......ajabu kabisa.
   
 14. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa Komba, omba yasitokee Tz, maana .......
   
 15. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah komba angekufa mana hiz tifu ni balaa.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Sasa nawashauri CDM wachapishe picha hizi halafu wasubiri wakati wa kampeni 2015 wapite nazo wakizinadi kwa watanzania wawaambie hiyo ndiyo Tanzania watakayoijenga wakipewa ridhaa, naamini watapata ushindi wa kishindo.
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Heri mimi sijasema...............
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ..bunge limejaa wabunge wa viti maalum, wakirushiana viti hivyo na kuvivunja watakalia nini safari ijayo hali si wakuchaguliwa??!!
   
 19. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Interesting way to debate issues. Helps you to see things clearly.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Democracy? LOL you must be kidding. These clowns are ready for democracy
   
Loading...