Mabroo hatutoi connection, dogo usizubae stuka!

Haha...iyo fursa imekaa kutufokea Sana hasa Sisi vijana wasio na hela .......okay okay tajiri mwenye fwedha akajitafutie shamba nitakuwa apo kama mkulima mbobezi
 
Gaddemit
 
Haha...iyo fursa imekaa kutufokea Sana hasa Sisi vijana wasio na hela .......okay okay tajiri mwenye fwedha akajitafutie shamba nitakuwa apo kama mkulima mbobezi
Tafuta pesa bwashee licha ya mimi kukufokea dunia ita ku fu,,ck kabisa
 
Turiani = madizini , madizini kwendwa dakawa kwa pikipiki ni 10k tu
 
Mkuu mbele ya madizini ipi? Mbona hueleweki mara useme dakawa mara turiani mbele ya madizini.
Ebu weka mambo kiufasaha usije ukapotosha watu.

Au zinaongea nyagi dry mkuu?!
Pale madizini panda boda wambie wakupeleke kambi ya dakawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…