Yeah mbele ya madizini ,kwa sasa matajiri wa pale tumewadhibiti wamasailile bonde ambalo ukiwa unaenda Turiani lipo upande wa kulia...
ila kuna shamba la Mstaafu maeneo yale pia sijui..
halafu wafugaji kipindi cha kiangazi huwa wanalisha mifugo ujiandae, labda kama siku hizi pametulia..
hahaYachukue mapori yote man
Ndo nilikua nasema kama vip serikali ilime bange uko mapori niMapori yapo mengi mno.
Njoo kusuni huku unatembea karibu km 100 ni uwanda mpana wenye rutubamaji , nk lakini hamna mtu hata mmoja .
Njoo Mbagala sasa , utembea bila kuwa mwangalifu unakanyaga watu.
Unewasanua washindwe waoPale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.
Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.
This is brotherly lovePale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.
Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.
hakuna pesa maporiniHuko tunavuna pesa ila wewe unaita maporiniπ
kuna sehemu... porini nimeivest napiga jiwe na kokotoJidanganye
ππ na ndio wanaongoza kufunga tela kwenye PMKesho utaona nyuzi ya kuomba buku ya kula