Tutakoma bwashee, dada kabaki na nani
Ngoja nikimbie nijeePale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.
Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.
Bora usijechapiwaNa b mkubwa
😅😅😅Yachukue mapori yote man
AhaaBinti yangu nimemzungumzia bwashee
🍻 na watoto wakaliiNakula pombe na chakushangaza viazi hawata ona hii fursa
Acha tuuNakula pombe na chakushangaza viazi hawata ona hii fursa