Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika.
Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia utusaidie jinsi ya Kuishi naye hivyo hivyo.
Hii ni kwa Wote waajiriwa wa Serikali ama Sekta Binafsi. Karibuni saana.