Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
www.jamiiforums.com
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
- Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za malori kwenda na mbili za magari ya kawaida kwenda, na mbili za malori kurudi na mbili za mabus ya kawaida
- Mji utapimwa kisasa
- Maji kwa matumizi ya binadamu yatakuwa ya uhakika na masafi tufahamu tunduma inachangamoto ya kipindupindu
- Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
- Mji utakuwa na zoning unavurugu sana
- Kutajengwa ukuta wa km 50 (km 25 upande wa kaskazini na km 25 upañde wa kusini) ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapato
- Kwenye maeneo ya mji kutapigwa paving ili kusiwe na kero ya vumbi ambayo ni moja ya changamoto kubwa ya Tunduma
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...