DiliKuna ombi moja ambalo wadau wengi wameliomba kipindi cha maboresho yenu hapo awali lakini mlikataa, na mlikata kwa sababu maalum,,
Sasa Leo na mimi niombe kwa style tofauti,
Kuwe RECYCLE BIN STATUS. Humu kutapatikana THREAD zote ambazo ni-DELETED,
Kwenye ID yake isionekane ila itaonekana kule kwenye recycle bin na isionekane nani alipost ile thread, ili hata mtu akitafuta kitu chochote kile akipate huko,
Ila pia kuwepo na option mbadala ya kuirudisha tena iwe ya mtoa thread original endapo tu mtoa mada ataihitaji tena kuirudisha iwe ktk ID yake,,
Maswali ya kujiuliza je kule ktk recycle bin comments za mtoa thread na za wachangiaji zitaonekana pamoja na ID zao? Jibu zionekane comments tu ila ID zisionekane nani ali post na nani alichangia.
mwenye kuongezea aongezee tu, pia unaweza kukosoa.
NAWASILISHA OMBI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia mzee babaJukwaa la SIMULIZI na RIWAYA lisikose
Kweli kabisa mkuu walivyobadilisha walikera sana nilijikuta nimeshikwa na hasira sio ya dunia hiiSome years back, ilikuwa ukiwa kwenye thread fulani kwa chini unaona threads kadhaa ambazo zinafanana na hiyo.
Hivyo kama kuna kitu ulikuwa unatafuta na haujapata jibu unaweza kuclick thread iliyowekwa kwa chini, ni zaidi ya miaka miwili sasa hiyo kitu haipo. Nakumbuka niliwahi kuiulizia mkairudisha kwa siku chache tu.
Fanyieni kazi hiko kitu mkuu, kinasaidia sana kama kuna taarifa unatafuta.
Kweli kabisa mkuu walivyobadilisha walikera sana nilijikuta nawatukana kimoyomoyo matusi mzito yenye uzito wa TANI Trilion 1.5
Tunaweka ROUND ABOUTMkuu Melo hapo kwenye miundombinu mtaweka flyover?
Atabarikiwa sanaKama akiona hapa atafanyia kazi. Siyo issue kubwa kurudisha.
Maxence Melo umesikia ombi hilo?Naomba liwepo jukwaa la watoto pia,liwe maalum kwa ajili ya walezi/wazazi na wazazi watarajiwa pia.Ili tujadili Lishe,changamoto katika malezi na makuzi ya watoto wetu.
Kabisaaaaaaaaaaa naunga mkono hoja.Kuna tatizo la kutopata natification mkuu hili pia liangaliwe.
Vipi chai na uporo tutakuwa tunakunywa huku huku JamiiForums?Yanalenga kuifanya JF iwe bora zaidi π
Si mchezo πMkuu Melo hapo kwenye miundombinu mtaweka flyover?
Hatutafanya kama inavyoombwa exactly ila tutawaridhishaNaona wote wanaoleta ombi la kitufe cha Dislike Maxence Melo anawapita kama hawaoni. Hiko kitufe fanyeni juu chini mkiweke.
AiseeMkuu ombi letu la muda mrefu la kuwa na jukwaa maalum la ushirikina na mambo ya giza mlikumbuke tafadhali
Jr
Hii inarudishika tu, hata dakika hii πSome years back, ilikuwa ukiwa kwenye thread fulani kwa chini unaona threads kadhaa ambazo zinafanana na hiyo.
Hivyo kama kuna kitu ulikuwa unatafuta na haujapata jibu unaweza kuclick thread iliyowekwa kwa chini, ni zaidi ya miaka miwili sasa hiyo kitu haipo. Nakumbuka niliwahi kuiulizia mkairudisha kwa siku chache tu.
Fanyieni kazi hiko kitu mkuu, kinasaidia sana kama kuna taarifa unatafuta.
Yaani unataka uweze like posts zako mwenyewe? π―Kitufe cha Ku Like mwenyewe tafadhali. Teh teh.
Hii inarudishika tu, hata dakika hii π
Emoji ruksa kutumia zilizo kwenye simu yako.Poa injinia. Tumeisoma hiyoo. Ila pia tangu mtoe vile vi emoj vya zamani, matumizi ya emojia mpya yamepungua sanaaa. Ni kama vile watu wamevisusa hivi vi emoji vipya. So ni bora m-bumbe vi emoji vingine au mrudishe vile vya zamani!
Hongereni sana. Mungu aendelee kuwapa afya njema JF idumu milele maboresho memaWakuu,
Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.
Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.
Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.
Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.
Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Ziko wapi tena hizo?mkumbuke kuzifuta post zote za ngono na uchafu uchafu zinakiuka "maadili ya Kitanzania".