Maboresho ya JF - 2019

Pamoja sana mkuu, kila la heri katika uendeshaji wa hii taasisi ...

Happiness is a lifestyle
 
Hapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.
Option ya ku-ignore mtu ipo kitambo. Bonyeza ID ya mtu utaiona

 
Mkuu naomba mufanye namna ambayo mtu anaweza hifadhi ili aweze soma akiwa offline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ombi moja ambalo wadau wengi wameliomba kipindi cha maboresho yenu hapo awali lakini mlikataa, na mlikata kwa sababu maalum,,

Sasa Leo na mimi niombe kwa style tofauti,

Kuwe RECYCLE BIN STATUS. Humu kutapatikana THREAD zote ambazo ni-DELETED,

Kwenye ID yake isionekane ila itaonekana kule kwenye recycle bin na isionekane nani alipost ile thread, ili hata mtu akitafuta kitu chochote kile akipate huko,

Ila pia kuwepo na option mbadala ya kuirudisha tena iwe ya mtoa thread original endapo tu mtoa mada ataihitaji tena kuirudisha iwe ktk ID yake,,

Maswali ya kujiuliza je kule ktk recycle bin comments za mtoa thread na za wachangiaji zitaonekana pamoja na ID zao? Jibu zionekane comments tu ila ID zisionekane nani ali post na nani alichangia.


mwenye kuongezea aongezee tu, pia unaweza kukosoa.

NAWASILISHA OMBI.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…