Maboresho ya JF - 2019

Jitahidini kudhibiti matusi inakera Sana badala ya watu kupingana kwa hoja mtu anatukana mkiachia hao watu watakuja kuiponza jamiiforums pia no vizuri mkaanzisha jukwaa la vyama vya siasa kwani jukwaa la siasa badala ya kujadili siasa limekuwa sehemu ya malumbano ya vyama na kupoteza maana nzima ya uwepo wa jukwaa hilo
 
Badala ya 'thanks' kuanza kuonekana, na kuona like au dislike mpaka upitishe cursor kwenye hiyo 'thanks', ni vyema vyote vikaonekana au pakawa na label ikisema 'hisia zako juu ya post hii'.
Kwa watu kama mimi ambao tunasoma label na kutambaa ni ngumu kutumia huduma hiyo.
 
Mi pia unanipa shida, mara kuwe na like mara thanks Mara emoji ya kicheko. Kwanini visiwepo vyote nichague mwenyewe? Nataka kumpa mtu thanks inakuja like
 
Yana maana tofuti mpaka hapo. Toeni au weken vyote. Maana ni sawa na kutufanya hatujui maana yake. Wapo wanaosema ahsante hata kama wamechukia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipapasa cursor ndio unaona vyote ila kabla ya kufanya hivyo unaona thanks pekee. Tatizo langu bado ni kuwa kwa nini thanks iwe ni default? Halafu, katika hali ya kawaida huwezi kupapasa na cursor wakati hakuna other options kwenye label ya kitufe.
 
Wakuu wa JF ,hivi hakuna uwezekano wa Kua tuna set reminder(iwe inapiga hata ka alarm flan hivi).

Nikimaanisha kama kuna uzi nimeupenda lkn sina muda wa kuusoma kwa wkt huo then na-set hapo hapo kwny huo uzi reminder ili ikifika muda flani inishtue nisome huo uzi wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…