Maboresho ya JF - 2019

Jukwaa la entertainment si ndio jukwaa la riwaya na hadithi zote zinapopatikana? Halaf we karim uache kusumbua watu.
 
Mkuu Maxence Melo kuna changamoto moja huwa nakutana nayo kuangalia nyuzi za baadhi ya member waloweka accounts zao private. Unakuta kuna uzi niliosoma kipindi cha nyuma lakini nikitaka tena kwenda kuusoma mara nyingine inashindikana sababu nikiingia kwenye profile ya member siwezi pata option ya ku view threads zake sababu account iko private. Naomba iwepo option ya kuziona thread peke yake huku mambo mengine yabakie private as member alivyokusudia.
Mfano madini ya huyu member barafu nashindwa kuyaona sababu hiyo
Nawasilisha
 
Ningeshauri, mruhusu uwezo wa kuedit title ya post endapo unakuwa umekosea
 
Cc Maxence Melo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…