Nadhani kwa mtu kukosa tu LIKE tayari inamaanisha kuwa alichochangia hakina manufaa kwa jamii.... Vilevile nimeupenda msimamo huo wa kuwa na kitufe cha dislike kwakuwa ni kama vile forum imekwepa mazoea ya kuwa na kitu kinachofanana na wengine
Na kwakuwa tayari kuna emoji ya thumb down
ambayo nimeona maranyingi ikitumika basi naona inatosha
Jr