- Feb 10, 2006
- 4,539
- 16,794
Siku CHACHE zijazo 🙂Vp tuyategemee baada ya siku,wiki ama miezi kadhaa?
Fanyeni mfanyavyo Kitufe cha "thumbs-down" kiwemo.Siku CHACHE zijazo 🙂
usisahau malalamiko yangu ya muda mrefu kuwa kila unapochangia uzi tayari unakuwa ume "subscribe" huo uzi, inasumbua sana kupata notification ya kila mchangiaji...tafadhali fikirieni hili piaSiku CHACHE zijazo 🙂
Tatizo hili bado unalo? Nina shaka maelezo tuliyokupa siku ile hukufanyia kaziusisahau malalamiko yangu ya muda mrefu kuwa kila unapochangia uzi tayari unakuwa ume "subscribe" huo uzi, inasumbua sana kupata notification ya kila mchangiaji...tafadhali fikirieni hili pia
Maxence Melo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ombi letu la muda mrefu la kuwa na jukwaa maalum la ushirikina na mambo ya giza mlikumbuke tafadhaliWakuu,
Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF.
Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform.
Aidha, maboresho hayo yataenda hadi kwenye kuimarisha miundombinu (infrastructure) ili kuongeza uimara wa kukabiliana na hali yoyote.
Mabadiliko mengine ya aina hii yanaweza kufanyika 2021 au 2022.
Asante kwa ushirikiano mnaoendelea kutupa.
Hapana hii ni maboresho na pengine yatafanyika usiku sio kama ule uvamini wa wakati uleMsimu wenye kusononesha zaidi
Namna gani twaweza kaa hata dakika moja bila jf
Fanyeni mfanyavyo Kitufe cha "thumbs-down" kiwemo.
Mmh hapana kitatumika vibayaMkuu usisahau kitufe ya kutopendezwa (dislike button).
Kwenye hayo maboresho.
Hatuzimi 😊Msimu wenye kusononesha zaidi
Namna gani twaweza kaa hata dakika moja bila jf
Hapana, huduma haitasitishwa. Ikitokea hata hutoweza notice (maximum 5min)Kwenye maboresho hayo hayawezi kuvuvuruga server tukashindwa ku access huduma yetu pendwa?
Sent using unknown device
Hilo tatizo lilikuwepo mwanzoni kwa upande wangu ila liliisha kadri siku zilivyodhidi kusonga mbele. Jitahidi u-subscribe kila jukwaa na utaweza kupata notification ya uzi mpya kila ukiwekwa jukwaa husika.usisahau malalamiko yangu ya muda mrefu kuwa kila unapochangia uzi tayari unakuwa ume "subscribe" huo uzi, inasumbua sana kupata notification ya kila mchangiaji...tafadhali fikirieni hili pia
Maxence Melo
Sent using Jamii Forums mobile app