Hujaeleweka mkuuTaarifa ilisema ni ghali kuliko sangara...kilo moja ni lakini tank mpaka million I
Lakini tano mpaka milion au niliaikia vibaya hiyo taarifaHujaeleweka mkuu
sio fuko la chakula,ni fuko la hewa linalomsaidia sangara kuelea ndani ya maji.bondo ni fuko la chakula la sangara,ni kama utumbo mpana wa sangara, wanadai hutumika kutengenezea malighafi ya viwandani
aah okey, nashukuru kufahamu,sio fuko la chakula,ni fuko la hewa linalomsaidia sangara kuelea ndani ya maji.
bondo ni fuko la chakula la sangara,ni kama utumbo mpana wa sangara, wanadai hutumika kutengenezea malighafi ya viwandani
Ni yale mautumbo ya sangara kama sijakosea.
Bado nashindwa kupata maana hasa ya mabondosio fuko la chakula,ni fuko la hewa linalomsaidia sangara kuelea ndani ya maji.
ukinunua sangara ambaye hajatolewa hicho kiungo,ukimpasua kifuani utapata jitu kama puto lina asili ya ngozi jeupe limejaa upepo,hilo ndo bondo sio jina rasmi ila limetokana na misemo ya kabila la wajitaBado nashindwa kupata maana hasa ya mabondo
Tuanze hivi;Bado nashindwa kupata maana hasa ya mabondo
Vizuri,kazi yake hilo kwa sangara sababu yeye hupenda kina kirefu ni kumfanya kuelea na kuzama majini kiurahisi,akitaka kuja juu anajaza upepo hvyo anakua mwepesi akitaka kwenda chini anatoa upepo anakua mzito.Tuanze hivi;
Samaki walio wengi kama sio wote kwenye ogani zao za ndani wana organi maalum kwa ajili ya kuhifadhi hewa. Mfuko huu huitwa mfuko wa hewa (Air bladder) na huu ndo kwa maeneo ya kanda ya ziwa huitwa bondo.
Mfuko huu hutofautiana kwa ukubwa na ugumu wa kiwambo chake kutokana na aina ya samaki. Mfano sato (tilapia ) wana bondo dogo sana na lina kiwambo chepesi/laini.
Sangara kwa upande wake ana bondo kubwa na kiwambo chake ni kigumu. Ukubwa na ugumu wa bondo lake huendana na umri/ukubwa wa samaki. Samaki mkubwa ana bondo kubwa na kinyume chake.
Bondo linatumika kutengeneza malighafi za kiwandani mfano plastic, viatu, mikanda N.K.
Nadhani walau nimejitahidi kueleza kidogo, japo waweza uliza ambacho hujaelewa.
Dah! kumbe siku ukikutana na sangara wazima ni kuwatoboa na kuondoka na bondo nyama ni kuwaachia wanaotaka shibe
Nakubali , Libhondo lya Ichengu Wasu.ukinunua sangara ambaye hajatolewa hicho kiungo,ukimpasua kifuani utapata jitu kama puto lina asili ya ngozi jeupe limejaa upepo,hilo ndo bondo sio jina rasmi ila limetokana na misemo ya kabila la wajita