Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano.
Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani?
Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii michezo ya kuchagua opponents.