MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,220
- 3,917
Hii funika kombe mwanaharam apite mwisho mwaka huu ,wale Watawaliwa wameamka tena, ''haki itaonekana tu hata kwa tochi''..
Kabisa kabisa
Hii funika kombe mwanaharam apite mwisho mwaka huu ,wale Watawaliwa wameamka tena, ''haki itaonekana tu hata kwa tochi''..
GEJ ni moja ya marais wachache Afrika walio na hofu ya Mungu.AFP ilikuwa ya kwanza kutangaza matokeo ya Nigeria.
Japo sote ni Waafrika weusi, alisikika 'incumbent' Jonathan akimpongeza mpinzani Buhari kwa ushindi, hatujajifunza kitu kweli!??
Polisi watapiga mwisho wataishiwa risasi, sasa hapo ndipo inapokuja amriii, "attaaaaaaack". Wataingia mitini