silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,636
- 2,401
Muda mfupi baada ya Maalim Seif kutangaza ushindi askari wa kutuliza ghasia wanapiga mabomu maeneo ya mtendeni ambapo ni ngome ya CUF. cha kushangaza wananchi hawatawanyiki bali ndo kwanza wanasherehekea