Mabomu yarindima Mjini Zanzibar

Mabomu yarindima Mjini Zanzibar

Kuhubiri demokrasi na kukubali matokeo ya demokrasi ni mambo mawili tofauti. watawala wakishaonja huwa hawataki kukaa pembeni. Naiona Zanzibar ikichafuka kuliko wakati wowote ule.
 
Nafikiri ni nani katangaza matokeo hayo ya Ushindi wake? Je ameonyesha matokeo yenyewe ya ushindi wake? najaribu kufikiri tu au ni mbinu za kuanzisha fujo?
 
Namuomba Mungu Ombi hili "yeyote atakayeshiriki zoezi la wizi wa kura ama kupiga watanzania katika harakati zao kutafuta mabadiliko kwa amani kabisa, apate mapigo na asisimame tena"
 
Muda mfupi baada ya Maalim Seif kutangaza ushindi askari wa kutuliza ghasia wanapiga mabomu maeneo ya mtendeni ambapo ni ngome ya CUF. cha kushangaza wananchi hawatawanyiki bali ndo kwanza wanasherehekea

Matumizi ya Jeshi la Polisi yataleta umwagaji wa Damu na upotefu wa Maisha ya akina mama na watoto!

Kama watu wanasherehekea Polisi siwandelee na jukumu la kulinda Amani mabomu ya nini kama wafuasi hafanyi fujo?
Huku tume ikiendelee kutangaza matokeo!
 
AFP ilikuwa ya kwanza kutangaza matokeo ya Nigeria.
Japo sote ni Waafrika weusi, alisikika 'incumbent' Jonathan akimpongeza mpinzani Buhari kwa ushindi, hatujajifunza kitu kweli!??
 
Back
Top Bottom