Mabomu yalipuka Shinyanga

Ni kweli
Mabomu yamelipuka Shinyanga eneo la Kizumbi ktk kambi ya Jeshi JWTZ.
Lakin yamelipuliwa kwa makusudi wakati wa mazoezi ya kijeshi, na hayajaleta madhara yoyote kwa wananchi.
Mabomu hayo yalilipuliwa kwa makusudi baada ya utaratibu wa kawaida wa kuyatumia wakati wa mazoezi kushindwa kuyalipua

Source: Taarifa ya Habari ya saa saba leo Uhuru FM
 
Kwa nini wasingetafuta eneo la mbali kabisa na makazi ya watu wakayalipue huko? Wenyewe wanazidi kuleta hofu kwa wananchi wakati kumbukumbu za mbagala na gongo la mboto hazijafutika?
 
Back
Top Bottom