Mabomu ya mbagala!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu ya mbagala!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 10, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Inaonyesha hawa walioharibiwa nyumba zao kwa mabomu ya mbagala mpaka leo hawajalipwa na Serikali? mpaka waandamane Ikulu?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Waathirika wa Mabomu Mbagala waandaa maandamano
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]Thursday, May 10, 2012 9:34 AM
  WAKAZI WA MBAGALA jijini Dar es Salaam walioathirika na mlipuko wa mabomu mwaka juzi, wameandaa maandamano ya amani kumuona Rais kwa lengo la kushinikiza kulipwa malipo yao ya uharibifu wa nyumba zao.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Wakazi hao juzi walitinga Ofisi za mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufikisha lengo lao hilo wakiongozwa na Mwenyekiti wao Steven Gimonge.

  Gimonge alisema wamejipanga vilivyo kuandamana kumuona Rais Kikwete ili kuijua hatma yao na kutambua kama hawajapata stahiki zao.

  Gimonge alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na kushindikana na kudharauliwa kwa maombi yao na juhudi za kumuona Waziri Mkuu tangu Februari 2010 kugonga mwamba

  Zaidi wakazi 2000 wanadai fidia kutokana na kuharibiwa kwa nyumba zao zilizoharibiwa kwa mabomu yaliyotokea April 2009 huko Mbgala na kusababisha vifo kadhaa.
  Waathirika wa Mabomu Mbagala waandaa maandamano[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hazina hakuna hela, zimeliwa na magamba, they will waste there time. Wasubiri hao mawaziri waliotemwa warudishe.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,530
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ni upepo tu, yatapita
   
 6. a

  allydou JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  na le wanaanza safari ya kupoteza billions zingine kwa kukimbiza mwenge nchi nzima, baada ya kupoteza zingine kama hzo majuzi tu kwa kuazimisha muunganio usio na tija yoyote.. kazi tunayo.
   
Loading...