Mabomu ya machozi Arusha

so sad aisee hicho kimkweche chake nacho kilambe moto pia
na akafie kisongo
 
Imenisikitisha saana mtu kutumia silaha iliyokuwa meant kwa self defence kumwuua mwendesha pikipiki ambaye hana silaha. Nashukuru kuwa nyumba ya muuaji imechomwa na kuteketezwa na hatua inayofuata ni wananchi kumwamishia mbuga za serengeti, Manyara au Ngorongoro akaishi na wanyama wenzake kwani hastahili kabisa kuishi na wanadamu
 
inasemekana jamaa hakua na lengo la kuua, ni uzenbe wa vijana wengi sasa hivi kumiliki silaha pasipo kuwa na tahadhari.kitu kilikua chemba jamaa kutoa tu bastola kumwambia ntyakushuti,,ile anamalizia kauli kitu kikapenya kwenye moyo wa marehemu.alipiga kwenye moyo direct hakupiga bega wala tumbo.
 
hakuna cha kushangaza hapo?? Mtoto umleavyo ndio akuavyo na mwana hukua kwa kufuata malezi ya mama, kama serikali yetu ndio style yao raia nao naona wameanza kuiga. Ikiwa polisi wanadungua watu ovyo kama ndege ,ndio mana na raia nao wanaiga.
 

Hata kama ni hivyo kwa nini aachiwe huru???? Halafu zipo tahadhari za mtu kutishia, moja ni kuhakikiha silaha haijakokiwa na kuepuka kugusa trigger ili kuongeza usalama hata kama usalama wa silaha utakuwa mdogo.

Huo ni uzembe ulipindukia. Sheria ichukue mkondo wake.
 

Wangemuua mwanae kabisa, nyumba anaweza kuwa na hela za kifisadi akajenga upya na asione machungu.
 
Nadhani huyo jamaa aliye MDITO mwenzake ni POLISI!.

Jamaa atajuta maisha, kama nyumba imechomwa sijui ataishi wapi, maana hata ya kupanga atanyimwa watu wakihofia nyumba zao kuchomwa .................
 

RIP dereva wa bodaboda kwa kuuawa kwa uzembe wa makosa ya barabarani..
 
Bahati nzuri ndugu wa marehemu walikubali kumzika marehemu jana na hakika alizikwa na umati wa watu ambao haujawahi kuonwa kwa siku za karibuni. R.IP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…