ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 661
Usalama wa taifa wako busy na cdm na issue za gesi mtwara.
ni vigezo gani vilitumika kumteua Mkurugenzi wa Usalama wa taifa na IGP??
mkuu wa kaya mbona hataki kuwaondoa hawa watu??
wenye akili tumeishagundua kuna kamtandao, kanakoratibiwa na mkuu ili nchi iingie kwenye machafuko,
nadhani ni kwa manufaa ya mabeberu na vibaraka wao ili waje wachote rasilimali kiulaini,
mchafuko yakianza mkulu atapewa hifadhi katika mojawapo ya nchi za ughaibuni??
je atakimbia na ndugu zake na ukoo wake wote?? tusubiri time will tell
wacheni viongozi wa dini wapumue mlitaka waseme ni chaguo la shetani wakati amechaguliwa na wananchi wengi?
wewe kwanza inaelekea elimu kidogo chenga. Kauli za maaskofu mbona siyo tata? unataka kuleta maneno ya vijiweni. yani wewe ni wale mliokuwa brainwashed(tafuta dictionary maana najua huelewi) hamuelewi chochote kazi kuchukia tu ukristu..kutwa kuchukia maaskofu kutwa kanisa kanisa...mnadhani ukristu ndio adui wa maendeleo yenu..la hasha..mi najua kiini cha matatizo yenu...UJINGA. na ulianzia arabuni kwa muasisi wenu aliyejaribu kuiga dini fulani na kuweka ya kwake. nyie ndio matunda yake..popote mlipo majanga tu.hawa maaskofu nao wanausika kwa yote haya yanayotokea hawana pa kutokea waache kurukaruka. Kwani walishatoa kauri tata leo ndo tunaona matunda. Au mnajifanya mmsahau .rais gani mwenye mambo ya k...ke. Sisi ndo tulomweka madarakani tukiamua nchi hii aitawaliki. Kauli hizo na nyingine nyingi zimetolewa na haohao. Leo mnashangaa nini ?