Mabomu Arusha: Mtazamo wangu

Jamani mtasema yote mtamaliza.
Chanzo cha mambo yote ni "serikali dhaifu ya CCM". Hii inazaa udhaifu wa dola:
1. Jeshini mabomu yanalipuka hovyo na hakuna jibu
2. Watanzania wanateswa na kuuawa ovyo -usalama wa taifa wakiwa kikizo
3. Mahakama zinashindwa kutoa haki kwa kuwa watendaji wake wako mikononi mwa CCM
4. Wabunge badala ya kutetea maslahi ya watanzania wanatetea maslahi ya CCM ( matokeo yake mikataba na maamuzi mabovu kama ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo yanapitishwa)

Watanzania hatupendi kurudisha heshima yetu kwa njia ya machafuko lakini ukiangalia historia ya nchi nyingi duniani utaona ilifika mahali wakasema potelea mbali mimi nife kwa faida ya wanangu na ama wajukuu zangu.
Nchi ilishakufa long time( since 2005). Haya ndo matokeo yake. Huu ndio ukweli. We need complete reform.
 
Wakuu sioni Kama watu hapa wanajadili hoja,wengi humu wanatoa hisia za maumivu ya kisiasa.Tayari hapa kunachuki Kali dhidi ya CCM bila kujali imefanya Jema au baya.Mimi naona matokeo ya chuki zinazoleta vurugu namna hii nikutupeleka LIBYA ambako wenye uwezo wa kuishi huko hakuna kati yetu.Ninahofu sana na hii kauli ya KUSHTAKI KWA WANANCHI.Sijui tufanye nini,pawe na
upinzani mkali lakini pasiwe na vurugu.Mana
kinachoonekana kwa sasa upinzani maana yake ni
vurugu(hapa hisia zinanipeleka LIBYA)
 
Ninahakika haupo tayari kufa Mkuu,ninahakika hutaki kuishi Maisha ya wasomalia Mkuu,ninahakika hupo tayari kujuta kama walibya Mkuu,huwezi kuhakikisha Maisha salama baada ya machafuko,nakusihi tubu hii dhambi ya kishawishi vurugu.Upinzani ni lazima,vurugu ni laana kwa watoto wetu,na hawatakusifu Kwa kuwaletea msiba Bali watajuta kwann uliwahi kuwepo duniani(Ubarikiwe)
Jamani mtasema yote mtamaliza.
Chanzo cha mambo yote ni "serikali dhaifu ya CCM". Hii inazaa udhaifu wa dola:
1. Jeshini mabomu yanalipuka hovyo na hakuna jibu
2. Watanzania wanateswa na kuuawa ovyo -usalama wa taifa wakiwa kikizo
3. Mahakama zinashindwa kutoa haki kwa kuwa watendaji wake wako mikononi mwa CCM
4. Wabunge badala ya kutetea maslahi ya watanzania wanatetea maslahi ya CCM ( matokeo yake mikataba na maamuzi mabovu kama ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo yanapitishwa)

Watanzania hatupendi kurudisha heshima yetu kwa njia ya machafuko lakini ukiangalia historia ya nchi nyingi duniani utaona ilifika mahali wakasema potelea mbali mimi nife kwa faida ya wanangu na ama wajukuu zangu.
Nchi ilishakufa long time( since 2005). Haya ndo matokeo yake. Huu ndio ukweli. We need complete reform.
 
mkuu hoja zako zina mashiko kwa wale waliopropagandist kama wewe,ambao ni watetezi wa wauaji,ili mradi tu wazidi jihakikishia kipato.(binafsi kufanya kazi inayonifanya ni mtetee muhalifu huku ndani ya moyo wangu najua kuwa kafanya uhalifu naona ni usaliti mkubwa).Acheni propaganda (eti sidhani kama ccm wamehusika au kama chadema wamehusika pia! )
Fact ni kwamba polisi wamehusika kama walivyohusika kumlipua Mwangosi(mbali na propaganda za Kamuhanda ),kupiga risasi wafuasi wa chadema miaka miwili iliyopita huko huko Arusha .
 
Ninahakika haupo tayari kufa Mkuu,ninahakika hutaki kuishi Maisha ya wasomalia Mkuu,ninahakika hupo tayari kujuta kama walibya Mkuu,huwezi kuhakikisha Maisha salama baada ya machafuko,nakusihi tubu hii dhambi ya kishawishi vurugu.Upinzani ni lazima,vurugu ni laana kwa watoto wetu,na hawatakusifu Kwa kuwaletea msiba Bali watajuta kwann uliwahi kuwepo duniani(Ubarikiwe)

Ndugu yangu Mjema, toa suruhisho kutokana na hoja zangu hapo juu, acha kuwatishia nyau watanzania. Muda ukifika, haya yote yatakuwa hadharani. Usidhani Rwanda walitaka, ama Libya, Sudan, Misri n.k. Inafika mahali watu wanachoka hususani kama hakuna mtu anayewasilikilza, kama wanaendelea kuonewa, kunyanyaswa, kubezwa, kuuawa,kunyimwa haki n.k.
 
mkuu hoja zako zina mashiko kwa wale waliopropagandist kama wewe,ambao ni watetezi wa wauaji,ili mradi tu wazidi jihakikishia kipato.(binafsi kufanya kazi inayonifanya ni mtetee muhalifu huku ndani ya moyo wangu najua kuwa kafanya uhalifu naona ni usaliti mkubwa).Acheni propaganda (eti sidhani kama ccm wamehusika au kama chadema wamehusika pia! )
Fact ni kwamba polisi wamehusika kama walivyohusika kumlipua Mwangosi(mbali na propaganda za Kamuhanda ),kupiga risasi wafuasi wa chadema miaka miwili iliyopita huko huko Arusha .

Pole sana,mimi naona unaongozwa na chuki tu,unaseme (fact)wewe ulimuona huyo polisi aliyeuwa,polisi akiwa amevaa sare,mchana,mahali penye utulivu,atupe bomu la kuuwa watu na kujeruhi wengine sabini????????kwann asivae nguo za kiraia basi,kwanini asitumie gari la kiraia.Kuvaa sare na kufanya huo unyama ni kujitambulisha kuwa yeye ndie aliyefanya,kwanini akimbie ss.Si vema kuropoka tu kila kitu kwa sababu ya chuki.Aliyefanya hivyo ni katili,mnyama na nilazima apatikane lakini haimaanishi ni kila mtu tu bila kufikiria
 
Back
Top Bottom