Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 696
Village version wewe huwez kunielewa.watoto wa mjini wamenielewa
Haahahaha bloo umezidisha chumviTwitter ukitweet tu pale chini inaandika unatumia simu gani Sasa hapo huwez kumpata dem anaetumia I phone wakat we unatumia tecno kwanza ukimtongoza tu kabla hajakujibu anakuangalia aina ya simu unayo tumia alaf anakuthaminisha
Sent using Gun Trigger
njoo pm nikuelekeze vzr nina kadudu ka kujifunzia for u only
niwekee chance dogo.nakuja chap kwa harakaMabloo wote wa jf
Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter
1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka
2. Madem wazur wengi wapo Twitter
3. Madem wakishua wengi wako Twitter
4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter
5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa
6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla
7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother
8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000
9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali
10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia
11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida
12. Wanatumia iPhone na Samsung
Mabloo msikurupuke mkija Twitter
Save a brother
Ccc mpambazi bhana na mangi wa Kichaga ndio walipanga hiyo plan harafu Dr isack akaja kuwachoresha hadharani ππππ ila kuna maparody yaliyo jipanga balaha Mimi nimejiunga tangu 2016 lakini imekuja kubadilika kutoka kuwa serious status na kuwa funny theard hivi karibunimkuu usipagawe sana nyingine ni parody mle
wako jamaa walitengeneza parody la demu mkali baadae yule dem ikasemekana kafa
na watu wakachanga pesa za rambirambi wakapiga pesa, wajinga ndo waliwao, masanja mkandamizaji anajua muulize
usiingie kichwa kichwa mkuu waweza kuona account ya demu mkali kumbe mwanaume
Ndiyo huyo? ππππmkuu usipagawe sana nyingine ni parody mle
wako jamaa walitengeneza parody la demu mkali baadae yule dem ikasemekana kafa
na watu wakachanga pesa za rambirambi wakapiga pesa, wajinga ndo waliwao, masanja mkandamizaji anajua muulize
usiingie kichwa kichwa mkuu waweza kuona account ya demu mkali kumbe mwanaume
Ndiyo huyo? ππππ
Hili unalosema hata WhatsApp lipomkuu usipagawe sana nyingine ni parody mle
wako jamaa walitengeneza parody la demu mkali baadae yule dem ikasemekana kafa
na watu wakachanga pesa za rambirambi wakapiga pesa, wajinga ndo waliwao, masanja mkandamizaji anajua muulize
usiingie kichwa kichwa mkuu waweza kuona account ya demu mkali kumbe mwanaume
Seat for bloo
Tatizo upeo wako umeishia hapo young man.go back to schoolSiwezi kusaliti jamii forums never
kuna watu washenzi aisee walilia kwa uchungu wakapost hadi gari ya msiba sina hamuπββοΈπββοΈCcc mpambazi bhana na mangi wa Kichaga ndio walipanga hiyo plan harafu Dr isack akaja kuwachoresha hadharani ππππ ila kuna maparody yaliyo jipanga balaha Mimi nimejiunga tangu 2016 lakini imekuja kubadilika kutoka kuwa serious status na kuwa funny theard hivi karibuni