Nimezoea nyanya chungu na bamia la nazi tu
Basi biringani tamu zaidi la nazi
Wacha siku nijaribu. ..hili hua nafanya la kukaanga tu ndo nalopenda
Sijawahi kupenda biringani nikikuta imepikwa nakula basi tu ila siipendi
Teh yani hata ipikwe vipi huwa siipendiHata hii ya nazi au ile rost na samaki?
Mmh mie hata liungwe na ukwaju nitakula basi tu tena nakula nimelikuta kwa watu mi sijawahi nunua kwangu nikapika tehHili pishi la farkhina utalipenda tu, ukute wewe umezoea kula supu/mchemsho wa Biringanya!!!!!!!
Mmh mie hata liungwe na ukwaju nitakula basi tu tena nakula nimelikuta kwa watu mi sijawahi nunua kwangu nikapika teh
Mie ni biringani, cabbage na kisamvu hizi mboga hapana kwakweli, tena mara mia na cabbage siku hizi ndo nakula kula zamani nlikua sigusi kabisaMie nna hilo tatizo kwenye Kabeji (Sijui kama nimepatia jina) tangu mdogo kabisa sielewani nayo kabisa, japo sasa hivi najitahidi kuzipenda na nnaona maendeleo yanaridhisha!!!!!
Mie ni biringani, cabbage na kisamvu hizi mboga hapana kwakweli, tena mara mia na cabbage siku hizi ndo nakula kula zamani nlikua sigusi kabisa
mwalimu unakosa mengi hasa kwenye kisamvu...kisamvu cha nazi tena kichanganywe na vijimbaazi kwa mbaaaali..lol ntakula mpaka kijungu kilicchopikiwa kipasuke. jitahidi utazoea kidogo kidogo. mie kunde na magimbi mhhh nala tu ila hayapandi katuMie ni biringani, cabbage na kisamvu hizi mboga hapana kwakweli, tena mara mia na cabbage siku hizi ndo nakula kula zamani nlikua sigusi kabisa