Bongo kwa ujumla hakuna faragha.
Tunahitaji kuongeza doctor/ patient confidentiality.
Tunahitaji kuongeza attorney/client confidentiality.
Tunahitaji kuongeza journalistic integrity to protect sources.
Tunahitaji kuongeza heshima kwa wengine tunapoongea in public.
Jamii zetu zina challenges nyingi sana za ku adapt tourbanization, kwenye mambo ya public transportation na mikutano ya watu wengi.
nimejifunza kitu mkuu!!
Kitu gani
mkuu, tujuze wengine tunaweza kujifunza pia.
Mimi nilichojifunza ni kwamba bongo unaweza kwenda bar ukamsikia daktari anamzungumzia mgonjwa wake kwa jina na kuanza kuelezea ana ugonjwa gani etc.
Unaweza kuwa jambazi ukaenda kituo cha polisi na kuuliza nani kakuchoma kwa polisihaohao, na polisi wakakupa jina.
Unaweza kuwa mwanasiasa, ukaenda kwa muandishi na kumuuliza nani ni source ya habari zako nyeti, na ukaambiwa source.
Unaweza kwenda kwa mawanasheria na kuulizia siri za mteja na kupewa.
Kwa hiyo huyu binti ni "tip of the iceberg" tu.
Ikiwa our lawyers and doctors, the supposedly "creme de la creme" of our country wanaweza kuwa this cavalier kuhusu faragha, na hawa ni watu waliosoma na kula viapo vya professions zao, hawa mabinti wauza dawa pharmacy sitegemei kuona uelewa mkubwa.
yaani walitongozana hadharani! mleta mada naomba niwekee maneno zaidi walivyokuwa wakiongea.
siku-base kwenye career ya huyu binti mkuu ila nilijaribu kumuelezea tu maana nilikuwa nikimfahamu!!
Kijana: (Kwa suti ya chini na ya unyenyekevu) Hujanitendea haki mrembo, mbona soda vituu vya kawaida sana?
Binti: (Kwa sauti kubwa) kawaida kwenu nkomme kabisa, mii siiyo changudo.
Kijana: anyway nimekupenda umple mwenye hekima na busara napenda sana ulivyo
Binti: Kampenda shangazi yako nyo.ko zako! ....kifonzoo kirefu
Kijana: plz nielewe naomba nikubalie mpenzi nakupenda usiumize moyo wangu!
Binti: we hani.thi nini moyo wako unanihusu nini mimi, kafie mbele..... kifonzo saizi ya kati!
maongezi yakakatizwa na konda akidai nauli
Kijana anampa konda shilingi elfu kumi kwa kujitutumua, konda akauliza wangapi kijana akajibu wawili ile konda kuuliza tu na nani, jamaa akamwonesha yule binti; Binti sasa ......
Binti: Koma kamlipie mamaako, we konda mruishie change yake mi ntajilipia!
Kijana: bby acha hzo jamani anyway naomba namba yako ya simu basi mi nashuka hapo karakana!
Binti: Nyooooooo namba akupe nani, nyang'au wee, usine vinaelea wewe, NyaniGabu kawekeza hapa mbuzi wa iddi we huna haya.
Kijana: haaa kumbe nyanigabu ndo anakutia kiburi?
Binti: ananifanyeje kiburi, niachie uzaramo wako wewe mshenzi!
Konda kaitisha kituo kijana kateremka!
watu ha aha hahahahaaaaaaaaaaaaa!