Mabinti/wasichana warefu ni adimu saana

Mabinti/wasichana warefu ni adimu saana

Pole sana ila wenye kuchagua sana, wengi wao huangukia kwenye makoroma.

Kama hupati mrefu ata ukipata andunje sawa tu ili mradi umpende kutoka moyoni.
fe172f89588a31475bc3875cb8723424.jpg

Kweli kabisa.
 
umeshakula yale matunda niliokuandalia kuwekea pale kwenye Friji...acha zabibu..ule mchanganyiko wa parachichi,ndizi na embe...?ili ukimaliza kesho nikuwekee juice ya karoti. hii ndo kazi kuu ya mwanamme.
 
Mmmmh
 
Huyo demu anayekuambia ana mtu hio ni dharau, muulize kwan wewe umekua ccm au bashite?
 
Back
Top Bottom