agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Hahaha kweli kabisaSasa mtu unaishi morogoro kwa waluguru utapatia wapi demu mrefu...njoo huku kanda ya ziwa utawachoka..vitu vimepanda hewani kisawa sawa.
Hahaha kweli kabisaSasa mtu unaishi morogoro kwa waluguru utapatia wapi demu mrefu...njoo huku kanda ya ziwa utawachoka..vitu vimepanda hewani kisawa sawa.
Mmhh! U anduje nini???Pole sana ila wenye kuchagua sana, wengi wao huangukia kwenye makoroma.
Kama hupati mrefu ata ukipata andunje sawa tu ili mradi umpende kutoka moyoni.
Hahaaa. Walaaaa. Nina 5.4Mmhh! U anduje nini???
Kama upo dar ni kweli wanawake wengi wafupi,katika kundi LA wanawake kumi warefu utakuta wawili.
Ahahahaha si tunataka WO WO WOawe mrefu au mfupi si tunaangalia wo wo wooo![]()
![]()
![]()
sio kanda kavuAje kwetu kanda ya ziwa minazi kibao