Mabinti/wasichana warefu ni adimu saana

Mabinti/wasichana warefu ni adimu saana

Mechatronics

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
35
Reaction score
27
Binafsi mimi ni mrefu tena sio kidogo, na ninahitaji mpenzi wangu awe mrefu pia ila kila ninapomuona binti mrefu lazima aniambie anamtu au nisiwaone kabisa Daaah sijui kwanini yani. Mwisho wa siku itabidi yoyote yule nitakae mpenda nipite nae hata awe andunje vipi.
 
Binafsi mm ni mrefu tena sio kidogo, na ninahitaji mpenzi wangu awe mrefu pia ila kila ninapomuona binti mrefu lazima anambie anamtu au nisiwaone kabisaaa...
Daaah
Sijui kwann yan..
Mwisho wa siku itabidi yoyote yule nitakae mpenda nipite nae ata awe andunje vip.
Utajiju [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binafsi mm ni mrefu tena sio kidogo, na ninahitaji mpenzi wangu awe mrefu pia ila kila ninapomuona binti mrefu lazima anambie anamtu au nisiwaone kabisaaa...
Daaah
Sijui kwann yan..
Mwisho wa siku itabidi yoyote yule nitakae mpenda nipite nae ata awe andunje vip.
Hawana watu hao, hawakutaki , na wao hawapendi wanaume wafupi
 
Back
Top Bottom