Mabinti / Wanawake jiheshimu basi katika mahusiano...

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
.....tumechoka vifo
...........mnakufa wenywe
......kwanini hamridhiki, kwani ulivyompenda huyo wa kwanza ulimpendea nini...
.... Ok, labda mwafata hela.. lakini mbona history za maisha yenu ni dhahiri mmetoka maisha ya chini sana..

mko tayari uwawa kikatili kisa kusaliti wapenzi wenu,tena wa dhati..

sasa mimi nawambia hivi jiheshimuni.. Mpunguze VIFO.

IM DONE. G9T
 
fungua vizuri wajiheshimu vipi wasitoe uroda ovyo au vipi?
 
Kwani vipi hapa.......kuna mtu kakataa kutoa hela......au hana hela........?
 
.....tumechoka vifo
...........mnakufa wenywe
......kwanini hamridhiki, kwani ulivyompenda huyo wa kwanza ulimpendea nini...
.... Ok, labda mwafata hela.. lakini mbona history za maisha yenu ni dhahiri mmetoka maisha ya chini sana..

mko tayari uwawa kikatili kisa kusaliti wapenzi wenu,tena wa dhati..

sasa mimi nawambia hivi jiheshimuni.. Mpunguze VIFO.

IM DONE. G9T

...kiswahili kimesomeka vyema hapo bolded.. hamuelewi nini..??
 
Mbona WANAUME wakiwasaliti wanawake hawauwawi na wake/wapenzi wao! wanabakia kupooza tu!

SIKU ZOTE MWANAMKE ANAONEKANA ANA HATIA SANA HATA YA KUFANYIWA UKATILI!!

Wanaume nanyi BADILIKENI mwanamke naye mtu, kukosea kitu cha kawaida ila KUELIMISHANA NA KUSAMEHANA jambo la busara sana. Kama unaona hakufai si umwache!!

Mbona nanyi WANAUME hamridhiki na ni WASALITI wakubwa kwa WENZI wenu!! HAMUUWAWI! HAMPIGWI ila mwakaushiwa???
 
Mbona WANAUME wakiwasaliti wanawake hawauwawi na wake/wapenzi wao! wanabakia kupooza tu!

SIKU ZOTE MWANAMKE ANAONEKANA ANA HATIA SANA HATA YA KUFANYIWA UKATILI!!

Wanaume nanyi BADILIKENI mwanamke naye mtu, kukosea kitu cha kawaida ila KUELIMISHANA NA KUSAMEHANA jambo la busara sana. Kama unaona hakufai si umwache

..wewe ni wa kwanza kunielewa katika uzi huu.. sasa tushirikiane waelimisha hawa akina binti/wasichana/wanawake wasioridhika hata uwape mgodi.. hawaoni hatari jivua. Shida yao nini.. Mimi binafsi nimechoshwa na vile wavyouawa kikatili punde tu wanapovua .. ch*p kirahsirahsi.... kusaliti wapenzi wao wa dhati.
 
data unataka watu waache vidumu??? Ndoa ni kazi sana usione watu wanaishi, nyumba zinastill mengi.
 
Last edited by a moderator:

Data, kuna haja ya wanawake kufunga miguu yao ili kuepukana na UKATILI huu, iweje humpe PENZI mwanaume halafu baadaea akutoe UHAI WAKO ama kukudhuru!!
 
data unataka watu waache vidumu??? Ndoa ni kazi sana usione watu wanaishi, nyumba zinastill mengi.
Mzee wa Rula tuwasaidiaje hawa dada zetu,,, wachache lakini si wote,,, wanaopenda magari na kuwasahau wapenzi wao wa dhati..waliowaleta mjini na kisha kuanza wadharau.. tupunguze vifo vyao..
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula tuwasaidiaje hawa dada zetu,,, wachache lakini si wote,,, wanaopenda magari na kuwasahau wapenzi wao wa dhati..waliowaleta mjini na kisha kuanza wadharau.. tupunguze vifo vyao..

AU Wanawake tusomee/tupate UBONDIA ili tuweze wakabili wanaume??

MNAWAONEA SANA NDUGU ZETU! kisa PENZI si muwaache tu!

AU tuache VIUNGO?? navyo vikiachwa mwalalama tena! ho hajui mapenzi! hoo hana nidhamu! yanatoka wapi tena!!!
 
Last edited by a moderator:
ukila vya intelijensia,jambazi,mvuta bangi hapo kweli unatafuta kufa kabla yaa siku za muumba wako lakini vya masharobaro wapaka pouda na wale watoto wa mama,na wale wakishua kama Bishanga akhuu utauawa saa ngapi,kila kitu kina consideration uhongwe gari halafu ule kona wee utasakwa na FBI wa bongo,ujumbe umewafikia wapenda kula vya kuhongwa.Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe lakini si kwa kuweka maisha rehani
 
nimetumia kipato changu cha chini kabisa kukupendezesha.. unaanza onwa na wanaume wengine mjini.. kisha kunisahau..na kunionyesha dharau... WHY.?

kumbuka wewe kama Binti ndo una maamuzi ya kukubali au kukataa..
 
ukila vya intelijensia,jambazi,mvuta bangi hapo kweli unatafuta kufa kabla yaa siku za muumba wako lakini vya masharobaro wapaka pouda na wale watoto wa mama,na wale wakishua kama Bishanga akhuu utauawa saa ngapi,kila kitu kina consideration uhongwe gari halafu ule kona wee utasakwa na FBI wa bongo,ujumbe umewafikia wapenda kula vya kuhongwa.Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe lakini si kwa kuweka maisha rehani

....signature yako ime match kabisa na mawazo yako.. . no doubt unaishi hivyo
 
Back
Top Bottom