Mabinti / Wanawake jiheshimu basi katika mahusiano...

Mabinti / Wanawake jiheshimu basi katika mahusiano...

Rejea sensa ya mwaka jana utajua kwamba wanawake ni wengi sana compared to men. Tukisema tufuate sera yako ya 1 by 1 hao wanawake wengine watat*mbw* na nani? Kumbuka ni mahitaji ya kibayolojia na ni haki ya kila mwanamke kutolewa genye ili awe na akili timamu.

Hivi mwanamke akitolewa nyege na mwanaume ndiyo anakuwa na AKILI timamu!!!
 
Mbona WANAUME wakiwasaliti wanawake hawauwawi na wake/wapenzi wao! wanabakia kupooza tu!

SIKU ZOTE MWANAMKE ANAONEKANA ANA HATIA SANA HATA YA KUFANYIWA UKATILI!!

Wanaume nanyi BADILIKENI mwanamke naye mtu, kukosea kitu cha kawaida ila KUELIMISHANA NA KUSAMEHANA jambo la busara sana. Kama unaona hakufai si umwache!!

Mbona nanyi WANAUME hamridhiki na ni WASALITI wakubwa kwa WENZI wenu!! HAMUUWAWI! HAMPIGWI ila mwakaushiwa???

Hapa naona TGNP/TAMWA!
 
Rejea sensa ya mwaka jana utajua kwamba wanawake ni wengi sana compared to men. Tukisema tufuate sera yako ya 1 by 1 hao wanawake wengine watat*mbw* na nani? Kumbuka ni mahitaji ya kibayolojia na ni haki ya kila mwanamke kutolewa genye ili awe na akili timamu.

Hapa umelonga mukulu manake hata mimi hii inanipaga taabu sana kuna wanaobahatika kujipatia wenza ndio lakini idadi haiwezi ku tally lazima kuna watakaobakia bila mwenza, sasa kwanini hakuna mpango mahsusi wa kusaidia hawa wanaokuwa wamebaki? Hali ni mbaya zaidi hasa linapokuja suala la hata hiyo idadi ndogo ya kiume inapopunguzwa tena na wale wanaoamua kuamia upande wa jinsia hii yenye idadi kubwa na hata wanaokula dawa ya kulewa na kupoteza uwezo wa kugawa haki hii ya msingi.
 
Back
Top Bottom