Mabinti / Wanawake jiheshimu basi katika mahusiano...

ukila vya intelijensia,jambazi,mvuta bangi hapo kweli unatafuta kufa kabla yaa siku za muumba wako lakini vya masharobaro wapaka pouda na wale watoto wa mama,na wale wakishua kama Bishanga akhuu utauawa saa ngapi,kila kitu kina consideration uhongwe gari halafu ule kona wee utasakwa na FBI wa bongo,ujumbe umewafikia wapenda kula vya kuhongwa.Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe lakini si kwa kuweka maisha rehani

Wapo wanawake wangapi ambao wajitafutia wenyewe hata kuilisha familia lakini baadae wanaishia kubondwa hata kuuwawa!!!
 
Last edited by a moderator:
....signature yako ime match kabisa na mawazo yako.. . no doubt unaishi hivyo

mjini hapa ukila vya watu jiandae kuliwa pia,avatar yako inafanana na mawazo yako ya kumkandamiza mwanamke kama hapo alivyobeba mzigo huku nyie vidume mmetanua vikwapa.
 
Wapo wanawake wangapi ambao wajitafutia wenyewe hata kuilisha familia lakini baadae wanaishia kubondwa hata kuuwawa!!!

wanaisaidia familia kwa njia ipi maana hata jambazi ukimuuliza atakwambia anaisaidia familia,hebu nijibu hilo swali ndo niendelee
 
nimetumia kipato changu cha chini kabisa kukupendezesha.. unaanza onwa na wanaume wengine mjini.. kisha kunisahau..na kunionyesha dharau... WHY.?

kumbuka wewe kama Binti ndo una maamuzi ya kukubali au kukataa..

Basi wanawake wache kula vya WANAUME, kama ni PU**Y wawape bure!
 
wanaisaidia familia kwa njia ipi maana hata jambazi ukimuuliza atakwambia anaisaidia familia,hebu nijibu hilo swali ndo niendelee

wanalisha familia, uswahili nimeona wanawake wengi wanahangaika kupata kilacho ila waume zao kutwak katika BAO!!
 
Tamaa na vijihela vya wanaume vinatuponza wanawake wenzangu!

jitahidini na vyenu kama ni mapnzi muwape bure kuepusha balaa. Maana wengi wetu wauwa/pigwa kisa gharama wanazogharamiwa!
 
wanahangaika vipi,mi naomba nitajie njia wanazotumia kujipatia kipato maana huko kuhangaika kuna mengi mf. kuna wauza genge,wauza maandazi,wauza nyago na mengineyo lakini wote wanalisha familia.
 
Nadidi simaanishi kwamba wanawake watoe pu**y kwa hela.. namaanisha watulie na mpenzi mmoja alie toka nae milimani kuja mjini.. asipokee hongo na kutoa pusi na kumsahau mpenzi wa dhati.. kumbuka vijana wanatumia hela nyingi kuwajali wapenzi wao(watoto wa kike) walioanza nao (first love)..

maumivu ya kusalitiwa baada ya hapo huishia kubaya
 
yeah data, hiyo nalo ni kweli kabisa ILA sidhani kam ndiyo itakuwa CHAMBO cha kumdhuru mwanamke!!

Mbona wanaume wengi wanatunzwa na kina dada mjini ila WAKIWASALITI hawapigwi ama kuuwawa!

Wewe unaona dawa ni ipi nayo kwa wanaume waowasaliti WAPENZI wao na isiwe kwa mwanamke tu kila mara"eti yeye kila siku ndiye anayesaliti"!!!

WANAUME ACHENI BWANA KUWAONE AKINA DADA/WANAWAKE

NA NYIE KIDADA JITAHIDINI KUFUNGA MIGUU YENU BWANA, PUNGUZENI NA VILE VITU BANAAA
 
Last edited by a moderator:
wanahangaika vipi,mi naomba nitajie njia wanazotumia kujipatia kipato maana huko kuhangaika kuna mengi mf. kuna wauza genge,wauza maandazi,wauza nyago na mengineyo lakini wote wanalisha familia.

zote ni kazi hata USUSI pia
 
Mbona WANAUME wakiwasaliti wanawake hawauwawi na wake/wapenzi wao! wanabakia kupooza tu!

SIKU ZOTE MWANAMKE ANAONEKANA ANA HATIA SANA HATA YA KUFANYIWA UKATILI!!

Wanaume nanyi BADILIKENI mwanamke naye mtu, kukosea kitu cha kawaida ila KUELIMISHANA NA KUSAMEHANA jambo la busara sana. Kama unaona hakufai si umwache!!

Mbona nanyi WANAUME hamridhiki na ni WASALITI wakubwa kwa WENZI wenu!! HAMUUWAWI! HAMPIGWI ila mwakaushiwa???

Rejea sensa ya mwaka jana utajua kwamba wanawake ni wengi sana compared to men. Tukisema tufuate sera yako ya 1 by 1 hao wanawake wengine watat*mbw* na nani? Kumbuka ni mahitaji ya kibayolojia na ni haki ya kila mwanamke kutolewa genye ili awe na akili timamu.
 
frakitosho, kwa leo nakuweka KIPORO, nitakurudia asubuhi

UMENIKERA ILA NGOJA NITULIZE JAZBA, NISIJETOA NENO LIKAKUKERA NAwe
 
wanaume ndio wasaliti wakubwa
wiki hii mnatuandama duuuh!
tuacheni tupumue bas kidogo!
 
mjadala wenu niliupenda sana wakati unaanza ila nikashangaa ghafla hali ya hewa ikaanza kubadilika, thats the good and bad side of keyboard communication. My take is Asnam na Nadidi mjadala wenu una tija sana na ungeweza kuondoa fikra za kinyanyasaji kwa wanaume lakini pia kusaidia wanawake kuwa na fikra za kulipwa kwa kila wanalotenda kwa wanaume
Wapo wanawake wangapi ambao wajitafutia wenyewe hata kuilisha familia lakini baadae wanaishia kubondwa hata kuuwawa!!!

wanaisaidia familia kwa njia ipi maana hata jambazi ukimuuliza atakwambia anaisaidia familia,hebu nijibu hilo swali ndo niendelee

Basi wanawake wache kula vya WANAUME, kama ni PU**Y wawape bure!

wanalisha familia, uswahili nimeona wanawake wengi wanahangaika kupata kilacho ila waume zao kutwak katika BAO!!

Tamaa na vijihela vya wanaume vinatuponza wanawake wenzangu!

jitahidini na vyenu kama ni mapnzi muwape bure kuepusha balaa. Maana wengi wetu wauwa/pigwa kisa gharama wanazogharamiwa!

wanahangaika vipi,mi naomba nitajie njia wanazotumia kujipatia kipato maana huko kuhangaika kuna mengi mf. kuna wauza genge,wauza maandazi,wauza nyago na mengineyo lakini wote wanalisha familia.

zote ni kazi hata USUSI pia

ok umemjibu mwenye thread,kwamba wauza nyago wa kitaa wanaopenda mteremko ni halali au sio?

Nadhani umeelewa, usijifanye kama haujaelewa!!!

usinilazimishe kuelewa kama majibu yako yamefikia mwisho sema tuishie hapo.
 
mjadala wenu niliupenda sana wakati unaanza ila nikashangaa ghafla hali ya hewa ikaanza kubadilika, thats the good and bad side of keyboard communication. My take is Asnam na Nadidi mjadala wenu una tija sana na ungeweza kuondoa fikra za kinyanyasaji kwa wanaume lakini pia kusaidia wanawake kuwa na fikra za kulipwa kwa kila wanalotenda kwa wanaume

thankx
 
Back
Top Bottom