Hao washenzi. Yawezekana umetoka arusha na una ile lafudhi basi wote wanaona mchaga maana hawawezi tofautisha wengi. Uchaga mi naona dili maana kuna jamaa angu mchaga na anafatiliwa na madem kibao. Ila kwa upande wa pili wachaga wana kasoro zao ambazo mademu wa kisasa wanaziogopa
Ubahili; huwa wanawaza mbali na kuwekeza mno.
Sex; 65% ya wachaga ni wabovu vitandani.
Michepuko; hawa hua hawapelekeshwi ovyo na wanawake (wengi wao)
Msaada; wachaga wengi huthamini ndugu zao kuliko wa upande mwingine.
All in all hao waliokukataa hawakua na mema kwenye maisha yao. Itakua wapigaji wetu walee. Chakarika kijana ila kua makini na haya mapenzi ya sasa mdogo wangu. Siku njema