Sasa mkiumbwa tena unadhani atabaki kuwa Sasha? Si nayeye atakua kashakuwa Shilole?Huyo mdogo Sasha.... Dah nampendaga kweli, tukifa alafu tukaumbwa tena ntajitaidi niwe Drake najua nikipeleka posa siwezi kutoswa
Dah kiongozi umenichekesha mno....Sasa mkiumbwa tena unadhani atabaki kuwa Sasha? Si nayeye atakua kashakuwa Shilole?
Ahahahahaaaa kaliSasa mkiumbwa tena unadhani atabaki kuwa Sasha? Si nayeye atakua kashakuwa Shilole?
Haaaahah Mwanaasha....aliletwa form one Kifungilo kule lushoto enzi izo nipo form six.. Mama salma anakuja kuvisit na msafara wa V8 kumi na gari mbili za polis zilizojaa askari...wengine tulikua tunajikuta piriton tu..Hivi hakunaga picha ya Mwanaasha?
Utajitahidi uwe drake!!, kwan wewe ndo utakaejiumba?Huyo mdogo Sasha.... Dah nampendaga kweli, tukifa alafu tukaumbwa tena ntajitaidi niwe Drake najua nikipeleka posa siwezi kutoswa
Sasa mkiumbwa tena unadhani atabaki kuwa Sasha? Si nayeye atakua kashakuwa Shilole?
Ulikuwa upuuzi sanaHaaaahah Mwanaasha....aliletwa form one Kifungilo kule lushoto enzi izo nipo form six.. Mama salma anakuja kuvisit na msafara wa V8 kumi na gari mbili za polis zilizojaa askari...wengine tulikua tunajikuta piriton tu..