TypingError
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 492
- 469
Nipe namba za hao mabinti...Habari za muda huu wana jamvi
Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu vyuo ambao umri unaenda na hawajapata kazi Wala hawajachumbiwa.
Kinachowauma zaidi ni tabia ya Hawa "mabinti" kushinda ndani na kutizama movie muda wote badala ya kutoka nje watembee tembee huwenda wakakutana na "ngekewa".
Namnukuu mmoja akisema "Yani Bora wa kwako hata kanisani anaenda, Mimi huyu wangu hatoki hata kwenda dukani hataki, hana hata marafiki akatembee huko anaweza akapata mume njiani lipo lipo tu"
Wadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
Aisee🤣🤣Nipe namba za hao mabinti...
Ili tuwaonye wasikae ndani tu[emoji23]Aisee[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Ili tuwaonye wasikae ndani tu[emoji23]
Siliwezi huwa naliona lina harufu ya ajabu au? 😄Karibu njoo tule Fenesi.
Kwa mwanamke jibu linaweza kuwa "ndio"Kwani kuolewa ndiyo kutoka kimaisha???!!!
Kwa mwanamke jobless kuolewa ni ajiraUngewaambia hao wamama kuwa kuolewa sio ajira, wawasisitize mabinti zao kufanya hata biashara ndogondogo.
Nakazia ujumbe wako mkuuUshauri murua. Kwa kuwa wamehitimu vyuo na wanadoda nyumbani bora wachangamkie fursa ya kuolewa chapchapu wapate watoto huku wakiendelea kutafuta ajira tayari wakiwa ndani ya ndoa, watakuwa wamepunguza stress upande mmoja huku wakijishughulisha na ujasiriamali/kilimo. Ila waolewe na wanaume ambao wataheshimu taaluma zao na watawapenda kwa dhati
Kabisa uhakika wa basic needsKwa mwanamke jobless kuolewa ni ajira
Waoaji ndio ninyi mna ajira za kuwapa sio? What a joke!!Kwa mwanamke jobless kuolewa ni ajira
Mkuu acha kututukana sisi walimu. Sisi ndio tunakufundishia mwanao ujue!Imagine kwa Wanaume ambao wamehitimu lakin bado ramani haijakaa sawa na amesoma BA.ED na kozi zingine za kindezi.
Nyie mna added advantage ya " kupeleka mbususu sokoni" ndo maana unaongea "Lazima kila mtu awe na kipato cha kulipwa au kujilipa!"Wow! Unaishi kwenye jamii gani ambayo wanaume wote wameshajipata na wako tayari kuoa na kubeba majukumu ya kifamilia kikamilifu?? Sio hii jamii ambayo wanaume pia wanastruggle kujitafuta kwa zaidi ya 15 years?
Unaamini kila anayepigania kuolewa basi atafanikiwa kuolewa? Bahati isipokuwa yake akawa hajaolewa je??
Ukiolewa ni guarantee ya kutimiziwa mahitaji yako yote? Have you ever heard women who are single mothers although they are married???
Come on, una binti? Wadogo wa kike je? You can do better with them, ndoa inaweza isiwe destiny, lakini as long as huyu binti yuko hai atatakiwa kumove around, kula, kuwa na makazi etc....... na hayo yanapatikanaje? Lazima kila mtu awe na kipato cha kulipwa au kujilipa!
Wewe binti kiziwi ni mwanaharakati au? Unaishi mitaa hipi? Piga hesabu ya kawaida ya kuchukua nyumba 20 hapa mtaani kwako na angalia chanzo chao cha kipato kwa asilimia kubwa kinatoka kwa mama au baba! Don't underestimate wanaume! Still probability kubwa ya mwanamke kuishi na kupata angalau kwa uchache mahitaji yake ya msingi LAZIMA awe connected na mwanaume; ama kwa njia ya ndoa, mchepuko, au "social engineering". "Social engineering" nikiwa na maana njia za kiulaghai na kitapelitapeli kujipatia kipato kutoka kwa mwanaumeWaoaji ndio ninyi mna ajira za kuwapa sio? What a joke!!
Tatizo sio lao tatizo ni hao Wazazi hawajajua tatizo nini tatizo ndio tatizo ambacho ni chanzo cha tatizo lao waoWadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
Niliwahi kuleta andiko hapa nikasema: watu wanakalili kuwa ukisoma mpaka chuo ukapata degree ndo utatoboa kirahisi! SIO HIVYO nyie vijana! Hawa wanasiasa wamewadanganya mkaingia kingi. Kama uwezo wako wa akili haukupi uhakika wa kupata GPA ya kuanzia 4.2 mpaka 5.0 usiende Chuo. Unapoteza muda, umri na rasilimali za wazazi maana ukimaliza ajira hakuna. Pia angalia unaenda chuo kusomea course hipi? Kuna course za "kindezi" <kwa lugha ya vijana> Hizo course za kindezi hata ukipata GPA kali msoto ni palepale sembuse GPA za "pass &lower second"?Kama kuna mwenye GPA kuanzia 4 atoke nimuoe
Sikumbuki hii discussion ilianzia wapi, lakini may be I was just being sarcastic. Lakini pia sifurahii mabinti kuambiwa watafute ndoa kabla ya kujitafuta angalau sio kwa viwango hivyo.... hata tu kwa kuanzia.Wewe binti kiziwi ni mwanaharakati au? Unaishi mitaa hipi? Piga hesabu ya kawaida ya kuchukua nyumba 20 hapa mtaani kwako na angalia chanzo chao cha kipato kwa asilimia kubwa kinatoka kwa mama au baba! Don't underestimate wanaume! Still probability kubwa ya mwanamke kuishi na kupata angalau kwa uchache mahitaji yake ya msingi LAZIMA awe connected na mwanaume; ama kwa njia ya ndoa, mchepuko, au "social engineering". "Social engineering" nikiwa na maana njia za kiulaghai na kitapelitapeli kujipatia kipato kutoka kwa mwanaume