Mdogo wangu anasoma hapo lazima niwe concernedBinti unafatilia story za mabinti, wewe ni rafiki yake Dr. Mariposa ??
fafanua plsAisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee..
Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa.
Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari.
Maadili ni sifuri.
Elimu wanapewa shida inakuja ni kuwa vijana kwa sasa wamekua wakifata mkumbo..Okoa Dada zetu wadogo zetu wapewe elimu ya ukimwi
Duh kabisa inasikitisha sanaElimu wanapewa shida inakuja ni kuwa vijana kwa sasa wamekua wakifata mkumbo..
Ngono imekuwa ni kitu cha kawaida sana sana na cha kufurahisha zaidi kwa sasa hawa vijana hawataki kuolewa wenyewe wanataka watu wa kuchovya tu.
Ukimwi nao kama umejificha ila mtu akipata ndo anajua kumbe kweli..
ni wanachuo watu wazima, huo siyo ufuska, ni wana enjoy kwa ridhaa/kujitambuaKuna ufuska mkubwa sana unaendelea hapo
Ni Mtwara sehemu gani mkuu nikawahi tiketi ya Buti la Zungu?
Hali mbaya mno tena mbaya sana...Duh kabisa inasikitisha sana
Hakuna buti la zungu sasa kuna maning niceNi Mtwara sehemu gani mkuu nikawahi tiketi ya Buti la Zungu?
Watoto wapo wa kutosha?
wale wa LINDI mmmghh hapana aisee, pale Mitwero? hamna kitu pale....Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari.
Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee..
Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa.
Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari.
Maadili ni sifuri.