Mabinti wa make-up mh yani...

Mabinti wa make-up mh yani...


kazi kwao wapenda kujimekua
sie wengine tukitupiamo ka poda
ka vestline tumemaliza.tukizidisha wanja lolz!!
 
Uwii nimeshtuka bado kidogo nidondoshe simu kwenye maji

mcheki na na dada yake anayeitwa mwajuma ndala ndefu alivyotokelezea mwake mwake.
 

Attachments

  • 1185350_459216984177071_1648888924_n.jpg
    1185350_459216984177071_1648888924_n.jpg
    18.1 KB · Views: 73
kwel madam nimeipenda yani wasichana wenzangu wanaojiovermakeup wananikera mnoo
 
Back
Top Bottom