Mabinti wa make-up mh yani...

Mabinti wa make-up mh yani...

make up.. make up... hasa hasa kwa mabinti, nakubali vitu hivi vina umuhimu wake, na vina mvuto kwa wakaka au mmeo... Lakini ngoja ntoe angalizo si kila make up ina mfanya mdada awe mzuri au wakuvutia. Kwanza tambua ni kwanini uanatumia make up fulani,
kupenda sana kutumia make up sometimes ni dalili za kujitambua wewe ni mbaya au unakasoro katika appearance yako. samahani lakini...
Kama wewe una color nzuri mkorogo wa nin, au maenjo face ya nini ..? Hata ukijipaka mafuta ya kura shining color tutaiona tu...
Mara unyoe nyusi uweke kope kama chelewa lip stick kama kasuku :smile-big: , sometimes watu wakikuangalia sio kwamba wanavutiwa nawe bali unawatisha tu..
mkijichunguza vizuri sometimes unakila dalili za kuzeeka mapema ... Jitunzeni ambinti sio kila make inatuvutia

Mkuu umenena ukweli usiopingika ila hapo kwa bold sio umenipoteza kwani mimi ni mpiga kura mzuri na sijawahi kuyaona hayo mafuta yake, kama unamaana ya kula basi badili hapo juu.
 
Yani mimi na hizo make up mbali mbali sijui kwanini, nilikuwa nashost kajaribu kunishawishi na mimake up nikapaka nikaona nakua tofauti na nilivyo yani uzuri wangu unakimbia nikaona mh! ngoja niwaachie wanoweza kuzimudu mwaya.... nikipaka poda tu inatosha tena poda yenye baby Johnson..... uso pouwa kabisa
 
Back
Top Bottom