Mabinti wa leo

hahahah haya makombora ya humu??? hata ya mbagala yana afadhali...mie napita tu kny ambulensi in case na humu kuna majeruhi tutawabeba....noooli noooli noooooli :A S 13::wink2:

basi ndugu kazi huwezi. Huoni majeruhi
 
usiwaonee watoto wa kike, kwani sasa hivi kuna wanaume wangapi wanaohudumiwa na wanawake? kosa lenu wanaume ni moja, mnashindwa kuidentify what u need and deserve, coz unamtaka mwanamke wa class ya juu kushinda uwezo wako akikataa unaanza kucoment kuwa wanapenda hela, and by the way mahitaji uliyomension hapo juu ya saloon n.k ni vitu vidogo mno ambavyo kwa mwanamke mwelewa hawezi kuvidai, coz ni vitu muhimu kwa mtoto wa kike ka kupumua vilee, last but not least kuna wanawake tunajitegemea na kufanya mambo yetu kwa support kutoka kwa wazazi wetu.

mshukuru Mungu
 
Mkuu umepiga ikulu,..
Yaani wanapoteamno!! inasikitisha kuona sikuhizi mabinti kuwa na mijbaba yenye wake na watoto eti ni jambo lakwaida!! Upuuzi mtupu!
Baadae wakikosa kuolewa wanaanza kuona nilaana kumbe CV zaozimechafuka!

tupo pamoja kaka. Nisaidie kuwaelimisha maana wananilemea
 
Michelle nakusalimu! Muzima wewe? Karibu counter ya juu!

Kimey na wengine, tunaharibu mtiririko mzima wa kuchangia hoja iliyopo mbele yetu kwa kugeuza mjadala kuwa sehemu ya kusalimiana. Kama huna cha kuchangia kwa nn usikae kimya?. Naona kwenye majukwaa mengi sasa huu unakuwa ndio mtindo watu kubadili hoja n kuanza kusalimiana. Tuwe wastaarabu na tujirekebishe wakubwa. Otherwise JF inapoteza Credibility yake. Labda MODS watoe mwongozo katika hili. Its disgusting?
 
mkuu bora umeliona hilo ila si mbaya pakiwa na salamu za kuchombeza. Sema hizi zinataka kupitiliza
 
Kimey na wengine, tunaharibu mtiririko mzima wa kuchangia hoja iliyopo mbele yetu kwa kugeuza mjadala kuwa sehemu ya kusalimiana. Kama huna cha kuchangia kwa nn usikae kimya?. Naona kwenye majukwaa mengi sasa huu unakuwa ndio mtindo watu kubadili hoja n kuanza kusalimiana. Tuwe wastaarabu na tujirekebishe wakubwa. Otherwise JF inapoteza Credibility yake. Labda MODS watoe mwongozo katika hili. Its disgusting?

Kama mtu ni swahiba na mlipotezana long time, ni vibaya kumdondoshea Hi katika maongezi then tunarudi tena ukumbi? Jamaa umezoea maisha ya ughaibuni nini? Wa TZ desturi yetu si uchoyo wa salamu ndugu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom