Mabinti wa leo

Nadhani mwandishi anajua so wote wako hivyo ila ni majority vote....yaani ni sawa na mtu akisema kikwete siuo rais wangu wewe ukmkataza kwa sababu atakupa fact kuwa kikwete amechaguliwa na watu (ambao hatuna hakika km ni watz) 5mil kati ya watz zaidi ya 40mil......lakini kapata kamajority eti kwasababu waliopiga kura walikuwa 8mil.....................kwa hiyo ni kweli majority of the dadaz are like dat

nataka niseme tu kuwa sio wote wako hivyo........wako mabinti wanaojiheshimu na hawako after things as u hv mentioned
 
orodha ya wanawake wa Liyumba ndo sample tosha ya kusema mabinti wa kileo wanataka mambo mazuri huku kazi hawataki?wangapi wanafanya kazi na tunao vyuoni wanajiendeleza?tatizo lenu umaskini unawasaumbua,tafuteni hela hakuna anayetaka mwanaume wa chini!

Inawezekana kumpata mdada bila pesa sema basi tu jamaa hajui mbinu
 
hamna kitu kibaya kama kukosa kitu fulani kwasababu fulani unayoona si sahihi,inamuuma jamaa,kataka demu matawi hana hela,hasaidiki hata kwa sala,yeye akatafute hela tu,ndo uanaume ati,si kuja na umbeya umbeya,uzandiki zandiki,ufitini fitini,uongo uongo wa kishamba,una sura nzuri huna hela usaidiweje,na kwa namna alivyoandika inaonekana si mtu mzuri,akikosa chuki yake ni balaaaaaaaa,ndo life dogo kuna kukosa na kupata!!!!

Mwambie usimfiche mwaleze ajitambue.

Huyu jamaa kakosa alichotaka ndo maana kapandikiza chuki ATAJIJUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Mwambie usimfiche mweleze ajitambue.

Huyu jamaa kakosa alichotaka ndo maana kapandikiza chuki ATAJIJUUUUUUUUUUUUUUUU

nani anataka mwanaume goal keeper,mwenye chuki?wewe wataka kudaka tu eeeeh,sisi hatutaki type hiyo!!!
 
kumbe ni kweli, duh! Majita tutafute hela aisee. Lakini kama ni kweli kinachowafurisha kitu gani? Nimesema wanawake wanapenda HELA. Mnachukia tukisema hivyo. Halafu mnasema tutafute hela. This is crazy and ridiculous

personally sijachukia kuhusu hilo la hela,hayo mengine kweli si kweli,nakushauri ongeza bidii kwenye kutafuta hela!!!
 
aaaaaaaaaahhhhhhhh!! shit!! hivi mama Terry now dayz yuko wapi? laiti angekusikia ungemtambua yy ni nani! hakuna mwanadamu aliye sahihi, hata nyie wanaume mnamapungufu yenu mengi tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!
 
nani anataka mwanaume goal keeper,mwenye chuki?wewe wataka kudaka tu eeeeh,sisi hatutaki type hiyo!!!

Umeonaaa huyu jamaa mpuuzi sana halafu sio makini kabisa hovyoooooooooooooooooooooo

Wale wale Mariooooooooooooooooo
 
Saahani, huenda nigusa topiki nisiyofahamu. Nina binti wawili warembo kama mama yao na kila mmoja ana gari yake ingawa ile Taurus na ya mkubwa ni ya mwaka 2005 ukilingnaisha na hii ya mdogo wake ya mwaka 2009. Karibu kila siku baada ya chakula cha jioni huwa tunajadili mabmbo mbali mbali yalitamba kwenye news siku hiyo tukichanganya philosophy, politics, economics, science & technology, medicine na mengineyo mengi. Unataka kuniamusha kuwa mabinti hawa hawana subira ya kudadisi mwanaume yoyote mweye gari? Nafikiri umewaonea watoto wa kike wengi kwa matazamo wako huo. Sidhani kama wote wako vile

Jamaa yupo sawa kabsaaa, na kumbuka hajageneralize., amesema wengi wao..)
Afu mkuu hiyo red sifa sio ngeni, kitaa ipo, kama ni wewe then hongera mkuu... :msela::msela:
 
mshikaji naona kama unawaimbia mipasho flani hivi wadada wa JF . . !??? Au kwa vile umegundua hakuna mdada JF anaejua mipasho??

Ngoja nitume maombi kwa Shossi atunge shairi ampe mdada aje ajibu hapa.

Halafu naona kuna kadalili ka mabinti wa siku hizi (kama ulivyowataja) wanakukimbia sana hata wiki humalizi nao kila unapojaribu??!! Mtafute hashycool coz yeye ni dokta bingwa wa mbinu za kutokea mabinti kiutaalamu, sio unawatokea tu " OOOH MIMI NATAKA WEWE NIKAKUCHIMBE SHIMO" hapo kaka watakukimbia tu hata kama ulisoma nae la kwanza hadi la saba

cpu nifundishe mipasho miwili na matusi manne.
 
ningejiua kupitiwa na mtu kama wewe,nani anataka kuchafuliwa na mwanaume asiyekuwa na hela ya sabuni baada ya shughuli?nilikuokota siku moja nikakupa lift ulikuwa hujielewi baada ya kushughulikiwa na watu wa jinsia yako kwa kutembea na mke wa mmoja wao,ndo maana nasisitiza acha ushalobaro,katafute hela uende mjini,we unaoga kila siku na mujini huendi kazi :blah::blah::blah::blah::A S 112::A S 112::A S 112:

Aisee!!!!!!:rain::rain::rain:
 
cpu nifundishe mipasho miwili na matusi manne.

Mi Mipasho nilipataga ZERO pamoja na kwamba mwalimu wangu alikuwa Khadija Kopa, na Mkuu wa shule alikuwa Nasma Khamis Kidogo (RIP)
Mwalimu mzuri wa matusi naambiwa alikuwa Maralia Sugu, mimi najua mateso tu
 
Hapa naona kuna makombora yanarusha ya hatari kuliko hata yale la Gongolamboto!
 
orodha ya wanawake wa Liyumba ndo sample tosha ya kusema mabinti wa kileo wanataka mambo mazuri huku kazi hawataki?wangapi wanafanya kazi na tunao vyuoni wanajiendeleza?tatizo lenu umaskini unawasaumbua,tafuteni hela hakuna anayetaka mwanaume wa chini!



Sasa hapo kazi ndio ipo, na wanaume nao wameanza kushtuka, hakuna anayetaka kuoa mpika ubwabwa, vijana wengi siku hizi hasa wasomi wanatafuta wanawake wanaojiweza!
 
Sasa nyie watu mbona hamniambii ahsante kwa kazi niliyowafanyia?:A S 13::A S 13::A S 13:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom