Pasm usije kutelekeza familia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanga kunani jamani.? Hii thread ya tatu naona inaelezea mabinti wa kitanga. Na kuna muhenga mmoja alishawahi kuja na thread akaelezea jinsi alivyo telekeza familia yake Moshi akazamia Tanga. Mimi nasemaje sitaki kusimuliwa tu nitahitaji nishuhudie mwenyewe.
Lazima utatia nanga tu mkuuTanga kunani jamani.? Hii thread ya tatu naona inaelezea mabinti wa kitanga. Na kuna muhenga mmoja alishawahi kuja na thread akaelezea jinsi alivyo telekeza familia yake Moshi akazamia Tanga. Mimi nasemaje sitaki kusimuliwa tu nitahitaji nishuhudie mwenyewe.
Mkuu njoo mlalo nitakusaidia watoto weupe na wazur balaaMkuu naomba uniassist kwa mmoja, sijawahi kubahatika kuwa nao..
[emoji2] [emoji2] mkuu liwalo na liwe. Nshachoka kusikia storiPasm usije kutelekeza familia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini tena bbc?Mmmmmgh!!
No wewe ni Mtwara combined with Tanga teh tehMimi chotara wa kimakonde na kizigua. Hapa naona sifa ni za wale pure Tanga.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wamakonde naskia mnaweza sana show
Nimepata kigugumizi ghafla, halafu emmy unadaiwa nyumbani!Nini tena bbc?
Mbona Unanicheka
Usipate kigugumizi aisee.Nimepata kigugumizi ghafla, halafu emmy unadaiwa nyumbani!
Sijakucheka mkuu ila nimesema una mchanganyiko wa Mtwara na TangaMbona Unanicheka
Niiishakufuata nyumbani lakini wala hata sikukuona!Usipate kigugumizi aisee.
Ujue nashangaa anayenidai hafati deni lake nifanyaje sasa zaidi ya kukaa kimya.