Mabinti wa kitanga mhiiiiiiiiiiiiii

Mabinti wa kitanga mhiiiiiiiiiiiiii

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Hapa ni maandalizi ya kabla ya ngoma ya baikoko haijaanza.
 
Attachments

  • 107409_04_5_20130110113228.jpg
    107409_04_5_20130110113228.jpg
    61.3 KB · Views: 3,415
Ukifika Tanga lazima ulale........................huwezi kufika leo ukaondoka leo..karibu san
 
Huyu mmoja kanga imeshuka lakini sizioni kamba zetu zile, inawezekana sio Tanga
 
..nilisoma Tanga Technical Secondary School, pale MAKORORA....duu ile Mitaa inayozunguka Viunga vya Shule kama Kwanjeka, Sahare nk. mambo haya yalikuwa ni kawaida saaaaaaaaanaaaaa!!!

...Tanga kuzuri jamani acheni kabisaaaaaaaaa!!!
 
Kizazi cha nyoka ! ndivyo maandiko yanavyosema
 
..nilisoma Tanga Technical Secondary School, pale MAKORORA....duu ile Mitaa inayozunguka Viunga vya Shule kama Kwanjeka, Sahare nk. mambo haya yalikuwa ni kawaida saaaaaaaaanaaaaa!!!

...Tanga kuzuri jamani acheni kabisaaaaaaaaa!!!
kila ijumaa na jumamosi ilikua lazima niende Kwanjeka kwenye Baikoko
 
....mkuu umeona mlegesho huo wa Kanga?....ama kweli huu ni wakati wa Kampeni na wagombea ni Mungu na Shetani!!!!
 
hahaahahhaha Huku taarifa zisizo rasmi zinaonesha SHETANI anaongoza kwa kura asilimia 92!!
 
Mkuu hivi bado ipo usagara mabangi ?
Mkuu Usagara Mabangi ya leo sio ile ya enzi zetu ukijichanganya umewapa masela mtaji, gongo nje nje. Sasa hivi mijengo ya maana imeota kama uyoga mzee, ukianzia na yale maghorofa ya Bandari opposite na Usagara Sekondari (Enzi za Head of School-Mr. Mrema) yaliyojengwa mwanzoni mwa miaka ya tisini ambayo yalileta mwamko.
 
..nilisoma Tanga Technical Secondary School, pale MAKORORA....duu ile Mitaa inayozunguka Viunga vya Shule kama Kwanjeka, Sahare nk. mambo haya yalikuwa ni kawaida saaaaaaaaanaaaaa!!!

...Tanga kuzuri jamani acheni kabisaaaaaaaaa!!!
Mkuu umenikumbusha Sahare enzi hizo kulikuwa bado mapori, jinsi wapemba walivyokuwa wabishi wa kujenga vyoo na badala yake wakichimba dawa porini na kutuachia miche ya mipera.
 
Pale karibu na uwanja wa mpira alikuwepo babu mmoja mtaalam wa mihogo jina limenipita kidogo, kweli tanga kunani
 
Kaka unanikumbusha Tanga, nilikuwa pale Galanos, mitaa ya kisosora,chumbageni, majani mapana,duhhh

..nilisoma Tanga Technical Secondary School, pale MAKORORA....duu ile Mitaa inayozunguka Viunga vya Shule kama Kwanjeka, Sahare nk. mambo haya yalikuwa ni kawaida saaaaaaaaanaaaaa!!!

...Tanga kuzuri jamani acheni kabisaaaaaaaaa!!!
 
Haah mihogo na kachumbari na juice ya miwa.....jamani tanga kuzuri,ila maisha ya wanafunzi raha kweli
Pale karibu na uwanja wa mpira alikuwepo babu mmoja mtaalam wa mihogo jina limenipita kidogo, kweli tanga kunani
 
domhome, umenikumbusha mbali sana, mie pia ni kizazi cha MATHIAS TETI! hiyo mitaa yote nimetmbea kuifuata ngoma baikoko, hadi mikanjuni tulifika!
 
Back
Top Bottom