data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 #1 ..hawasomekiii wanaume somekenii.. Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES.. ndo ukweli... Au naongopa Mamndenyi ? Say sth Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
..hawasomekiii wanaume somekenii.. Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES.. ndo ukweli... Au naongopa Mamndenyi ? Say sth
Gody JF-Expert Member Apr 16, 2010 1,246 411 Aug 27, 2012 #2 data said: ..hawasomekiii wanaume somekenii.. Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES.. ndo ukweli... Au naongopa Mamndenyi ? Say sth Click to expand... funguka kivipi?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
data said: ..hawasomekiii wanaume somekenii.. Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES.. ndo ukweli... Au naongopa Mamndenyi ? Say sth Click to expand... funguka kivipi??
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 Thread starter #3 gody said: funguka kivipi?? Click to expand... nenda MMU ..utawasoma warembo wanavyotulaumu.. Sie wa kiumeni twaichukulia ki rahisi rahisi tu.
gody said: funguka kivipi?? Click to expand... nenda MMU ..utawasoma warembo wanavyotulaumu.. Sie wa kiumeni twaichukulia ki rahisi rahisi tu.
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Aug 27, 2012 #4 data said: nenda MMU ..utawasoma warembo wanavyotulaumu.. Sie wa kiumeni twaichukulia ki rahisi rahisi tu. Click to expand... MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti.
data said: nenda MMU ..utawasoma warembo wanavyotulaumu.. Sie wa kiumeni twaichukulia ki rahisi rahisi tu. Click to expand... MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti.
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,780 Aug 27, 2012 #5 Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo.
Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo.
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 Thread starter #6 Asprin said: MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti. Click to expand... ..kuna kitu ki 1..wanaume twakosea,nacho ni "WE PAY LESS/LITTLE concentration when talking to our loved ones... Kumbuk kwamba unavyo ongea na binti anasoma maneno yako na macho yako.(usikwepeshe macho).
Asprin said: MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti. Click to expand... ..kuna kitu ki 1..wanaume twakosea,nacho ni "WE PAY LESS/LITTLE concentration when talking to our loved ones... Kumbuk kwamba unavyo ongea na binti anasoma maneno yako na macho yako.(usikwepeshe macho).
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,350 Aug 27, 2012 #7 wako na too much demand! Kila kizuri wanataka wao khaaa
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 Thread starter #8 ..kazi !! tuishi tu..tuombe uzima
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 Thread starter #9 Judgement said: Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo. Click to expand... anadhirika na MPINI wako Judgement ...!?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement said: Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo. Click to expand... anadhirika na MPINI wako Judgement ...!??
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Aug 27, 2012 Thread starter #10 Judgement said: Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo. Click to expand... ..kuna nini huko mbele.?? Usikute w r 2 geza.. FEAR JF...
Judgement said: Mie wa kwangu mbona anasomeka? So far i have no further comments in this thrade. Niko mitaa ya mbele hapo. Click to expand... ..kuna nini huko mbele.?? Usikute w r 2 geza.. FEAR JF...
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Aug 27, 2012 #11 Chimunguru said: wako na too much demand! Kila kizuri wanataka wao khaaa Click to expand... Kuna asiyetaka kizuri dunia hii?
Chimunguru said: wako na too much demand! Kila kizuri wanataka wao khaaa Click to expand... Kuna asiyetaka kizuri dunia hii?