omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Hahahaha aisee sisi watanzania ni wafupi sana.Kwa Tanzania urefu wa hivyo sidhan nimewahi kutana na mtusi mmoja super market kule katoro geita kama goriathi
Hahahaha aisee sisi watanzania ni wafupi sana.Kwa Tanzania urefu wa hivyo sidhan nimewahi kutana na mtusi mmoja super market kule katoro geita kama goriathi
Why kule tumalize ubishe..![emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atukome
Wabongo wafupi sana especially mikoa ya Kati na pwani warefu wengi WaPo kanda ya ziwaHahahaha aisee sisi watanzania ni wafupi sana.
Hahaha exactly mkuu.Wabongo wafupi sana especially mikoa ya Kati na pwani warefu wengi WaPo kanda ya ziwa
OooooohManunga wetu, hapa wanapita km hawaoni michuki na wivu...!
sawa sawaNakutumia pm
ha ha haaa,hakuna namnaHahahaaa....
Na hili muwezeshwe!??
Inawezekana tukiwezeshwa
siku moja nataka nithibitisheHapo alipo sio natural kwanza coz nywele zina dawa na ametinda nyusi, tupo hapa makonkodi wa natural
Ni dalili ya kuwa na roho mbaya hiyo mkuuSiwapendi wa Rwanda sijui kwanini..... ??
Inawezekana lkn lazima ufuate processsiku moja nataka nithibitishe
Inawezekana lkn lazima ufuate processsiku moja nataka nithibitishe