Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Uyu binti nadhan katika top 5 ya watu warefu duniani yumo Obama na urefu wake anamfikia began
Ni chuma ila kiuno kimenyookaHuyo mtoto chuma..! Labda mashobe wa kiarabu ndiyo wamtishe nao watakuwa hawana kiuno..!
Wewe kakijingu kapo???Ni chuma ila kiuno kimenyooka
Naona umedata na shingo km urembo ni urefu basi kanipiga gap lkn vinginevyo atasubiri sanaMmhh! Akimtaka bwana wako anamchukua ukiwa macho ujalala..[emoji125][emoji125][emoji125]
LikijinguWewe kakijingu kapo???
Acha bwana yaukweli haya???Likijingu
Top 5 hapana bhana kuna warefu zaidi sema kwenye hizo picha ulizopost yeye ndio mrefu kuwaliko wote.Uyu binti nadhan katika top 5 ya watu warefu duniani yumo Obama na urefu wake anamfikia began
Usiombe uhakiki??? Amini nachokwambiaAcha bwana yaukweli haya???
Hapana huyu hafai,....urefu kama twiga !! Hata baba ake kapigwa gap la maana...[emoji15]
Sababu please.Siwapendi wa Rwanda sijui kwanini..... ??
Mi wa hiv kitandani ndo nawakubal sanaHapana huyu hafai,....urefu kama twiga !! Hata baba ake kapigwa gap la maana...[emoji15]
Akuu! Natangulia kule Kapeace huwa nakuchukulia poah nisije kuwa nimekosa mengi.Usiombe uhakiki??? Amini nachokwambia
Sasa huyu atajikuta hata mmewe ni pimbi balaa,sio kwa urefu huo.
Hahaha ndo hivyo manake watu warefu dizaini yake ni wachache sana labda Rwanda kidogo wamejitahidi kupanda hewaniSasa huyu atajikuta hata mmewe ni pimbi balaa,sio kwa urefu huo.
Hata usiendekoAkuu! Natangulia kule Kapeace huwa nakuchukulia poah nisije kuwa nimekosa mengi.
Hahah make naona hata babaake ni mfupi mbele yake na wanaume wengi wanakuwaga warefu kidogo kuliko wanawake pia kama ni tz watu wa urefu huo bado hata kama wapo unawahesabu sana.Hahaha ndo hivyo manake watu warefu dizaini yake ni wachache sana labda Rwanda kidogo wamejitahidi kupanda hewani
Siwezi kubali kizembe nikose nanilii...!Hata usiendeko
Kwa Tanzania urefu wa hivyo sidhan nimewahi kutana na mtusi mmoja super market kule katoro geita kama goriathiHahah make naona hata babaake ni mfupi mbele yake na wanaume wengi wanakuwaga warefu kidogo kuliko wanawake pia kama ni tz watu wa urefu huo bado hata kama wapo unawahesabu sana.
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Siwezi kubali kizembe nikose nanilii...!