Mabinti wa Bongo mnasemaje juu ya hili..!!

Mabinti wa Bongo mnasemaje juu ya hili..!!

Hawa bora wakose Nauli kwenye handbag yao ila wawe na wanja na lipstick.

Ila mikalio yao michafu kama nini
 
Hapo alipo sio natural kwanza coz nywele zina dawa na ametinda nyusi, tupo hapa makonkodi wa natural
Huyo mtoto chuma..! Labda mashobe wa kiarabu ndiyo wamtishe nao watakuwa hawana kiuno..!
 
Back
Top Bottom