Mabinti punguzeni ushamba mnapokuwa hotelini

Mabinti punguzeni ushamba mnapokuwa hotelini

Usimpeleke sehemu mwanamke ambapo hupadumu

Ilipaswa umpeleke sehemu ambayo ht akivuruga meza bill inakuja 30k nadhani usingenung’unika...
Sijanung'unika sababu ya bili ila ni kwanini aagize asivyoweza kumaliza?
hayo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Hiyo ni hulka ya mabinti. Tena pale mnapo anza mahusiano. Kujikweza, na kula kidogo baada ya hapo ataenda fakamaia mihogo. Kama uwezo waki ni mdogo usiende mahali pa ghali. Na mkishazoena atakula vizuri na akibakiza atasema afungiwe atakula usiku. Kuwa mvumilivu
 
Sijanung'unika sababu ya bili ila ni kwanini aagize asivyoweza kumaliza?
hayo ni matumizi mabaya ya pesa

Bro huo ni ujinga wa wanawake wetu wa kiafrica hasa mwanzoni mwa mahusiano....

Mkizoeana atakula hadi mifupa ya kuku
 
Habari,

sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa.

Kuna tabia ya baadhi yao kuagiza vitu asivyoweza kutumia au asivyoweza kumaliza.

Kuna mmoja leo kanikera sana nimemuita maeneo fulani kaanglia menu kisha akaagiza leta hiki leta kile mara kile.

basi mzee mazaga zaga yote kaletewa kwa meza harafu kagusa guza tu kajifanya kushiba kumbuka hapo imeungua 100k kasoro.

Nikasema isiwe noma kaagiza maji na eneo lile maji makubwa ya kilimanjaro yanauzwa 5k kaonja tu kayaacha tukaondoka.

Kwa kweli wale wenye tabia hii iacheni mara moja usawa huu wa mjomba Magu agiza vile unavyoweza kumaliza na sio kuagiza usivyovijua wala kuvimaliza.

Huu ni ushamba na ulimbukeni badilikeni.
Na wewe umezidi mno kuchukua vicheche,
 
Wanakomoa kama vile sisi tunavyowakomoaga kwa doggy style
Kama hivi
JamiiForums-454320592.jpg
 
Back
Top Bottom