Mabinti punguzeni ushamba mnapokuwa hotelini

Wasikisute mkuu! Leo wamekataza kuitana boss. Next time maana umesema hotel kubwa kubwa akiagiza na un uwezo wa kulipa mkishashiba maana umesema hakumaliza. Mwite mihudumu mwambie akufungie namaanisha take away kwani lazima ujieleze chukulia kama unafuga mbwa nyumbani tu ukifika weka kwenye jokofu kesho unaamkia kijogoo! Walioenda jkt wanajua maana ya kijogoo. Case closed! Then ili kutorudia kosa mweleze mkikutana kuwa hupendi kuondoka na vyakula aagize anachokula na kumaliza. Kumwogopa mwenzio ni tabia za ki...... sorry! Uanaume ni kusimamia ukweli.
 
Habari
sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa.
Kuna tabia ya baadhi yao kuagiza vitu asivyoweza kutumia au asivyoweza kumaliza.
Kuna mmoja leo kanikera sana nimemuita maeneo fulani kaanglia menu kisha akaagiza leta hiki leta kile mara kile.
basi mzee mazaga zaga yote kaletewa kwa meza harafu kagusa guza tu kajifanya kushiba kumbuka hapo imeungua 100k kasoro.
Nikasema isiwe noma kaagiza maji na eneo lile maji makubwa ya kilimanjaro yanauzwa 5k kaonja tu kayaacha tukaondoka.

Kwa kweli wale wenye tabia hii iacheni mara moja usawa huu wa mjomba Magu agiza vile unavyoweza kumaliza na sio kuagiza usivyovijua wala kuvimaliza.
Huu ni ushamba na ulimbukeni badilikeni.
Ungeomba wakufungie urudi navyo home kwako. Ni ushamba uliopitiliza
 
Pole kwa kupewa hasara isioyalazma. Lakini yote umeyataka mwenyew. Na Kongole kwa utajiri uliopata
 
Habari
sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa.
Kuna tabia ya baadhi yao kuagiza vitu asivyoweza kutumia au asivyoweza kumaliza.
Kuna mmoja leo kanikera sana nimemuita maeneo fulani kaanglia menu kisha akaagiza leta hiki leta kile mara kile.
basi mzee mazaga zaga yote kaletewa kwa meza harafu kagusa guza tu kajifanya kushiba kumbuka hapo imeungua 100k kasoro.
Nikasema isiwe noma kaagiza maji na eneo lile maji makubwa ya kilimanjaro yanauzwa 5k kaonja tu kayaacha tukaondoka.

Kwa kweli wale wenye tabia hii iacheni mara moja usawa huu wa mjomba Magu agiza vile unavyoweza kumaliza na sio kuagiza usivyovijua wala kuvimaliza.
Huu ni ushamba na ulimbukeni badilikeni.

Hivi bado mnapeleka madem zenu hotel kula🤔 au ni mimi tu ndo nimekuwa🤔 kwako hamna gas
 
Habari
sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa.
Kuna tabia ya baadhi yao kuagiza vitu asivyoweza kutumia au asivyoweza kumaliza.
Kuna mmoja leo kanikera sana nimemuita maeneo fulani kaanglia menu kisha akaagiza leta hiki leta kile mara kile.
basi mzee mazaga zaga yote kaletewa kwa meza harafu kagusa guza tu kajifanya kushiba kumbuka hapo imeungua 100k kasoro.
Nikasema isiwe noma kaagiza maji na eneo lile maji makubwa ya kilimanjaro yanauzwa 5k kaonja tu kayaacha tukaondoka.

Kwa kweli wale wenye tabia hii iacheni mara moja usawa huu wa mjomba Magu agiza vile unavyoweza kumaliza na sio kuagiza usivyovijua wala kuvimaliza.
Huu ni ushamba na ulimbukeni badilikeni.
Pambana utafute hela mkuu!
 
Unampeleka sehemu maji yanauzwa 5k ili iweje usikute hvyo vyakula mlivyo lipia 100k sehemu ingine gharama yake haifiki 50k,. VIPI LAKINI MAMA KIJIJINI UMEMTUMIA CHOCHOTE AU ANAENDA KUAZIMA CHUMVI KWA JIRANI? ANY WAY KAMA HAUJATUMA KUMBUKA HYO NI LAANA KAMA LAANA NYINGINE.
 
Ulitakiwa umwambie direct
 
Tatizo sio bei tatizo ni kuagiza usivyoviweza.
Tatizo ni bei, mbona kuna hoteli nyingi tu nzuri ungempeleka kuna vyakula vizuri, mandhari nzuri na bei rahisi kama Kukukuku au samaki samaki mngeshiba mpaka mvimbiwe na isingefika hata 50k.

Na ukiomba kufungiwa wala hawana noma. Calisto ukuje unilipe kwa kukutangaza
 
Unampeleka sehemu maji yanauzwa 5k ili iweje usikute hvyo vyakula mlivyo lipia 100k sehemu ingine gharama yake haifiki 50k,. VIPI LAKINI MAMA KIJIJINI UMEMTUMIA CHOCHOTE AU ANAENDA KUAZIMA CHUMVI KWA JIRANI? ANY WAY KAMA HAUJATUMA KUMBUKA HYO NI LAANA KAMA LAANA NYINGINE.
Mama yangu hayuko kijijini yuko mjini
 
Back
Top Bottom